Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Jibu la maswali yote hayo Ni moja tu.CHADEMA NI MATAPELI WA SIASA TU,MASLAHI MBELE MENGINE BADAE.

WACHA TU WAPAMBANIE WAPATE UBUNGE WALIPE MIKONO YAO
 
Katibu mkuu amekosa uzalendo. Kususa kwa Katibu Mkuu hakutakiwi kuwaumize wakinamama.
Ndivyo utaratibu unavyosema hivyo? Kwanini wasingepeleka wale waliokuwa tayari wamechaguliwa kuwa viti maalum kama ndiyo hivyo, kwanini akina Halima Mdee ambao wao waligombea wakashindwa?
 
Na hili ndio iliwapa heshima..... Kma Zitto na Kitila walitumiliwa je nani mwingine anafikia hadhi yao hadi avumiliwe.

Tuanze upya tu lakini option ni either wajiuzulu au watimuliwe. Watarudisha imani ya wananchi otherwise watajizika rasmi.
Huu mchezo nia yake, kwa kauli ya Mnyika (Katibu Mkuu), ni kuilaumu Serikali kama ambavyo wamekuwa wakilaumu Madiwani na Wabunge wakihama.

Kama watawafukuza, kitendo ambacho sitegemei, nguvu ya wanawake itakiua chama, kwa maana kuwa wanawake kwenye chama wanawadharaulika.
 
CHADEMA mchakato wa viti maalumu ni mbovu! Unaruhusu wanaume wakware kuingiza vimada wao bila hata kushindanishwa na wenye uwezo. Sasa mumepigwa bao la kisigino!
 
Jiwe unalishughulikuaje?
 
Sasa hapo serikali imefanya mchezo mchafu gani? Nyinyi si ndo mlikuwa mnasifia bavicha na halima, saivi mnataka kutuaminisha Halima na wenzie wamenunuliwa pia, hii inadhihilisha hata wale waliounga juhudi mapema hawakununuliwa, Kama mtaendelea hivyo mjue uchaguzi wa 2025 itakuwa more than disaster kwenu
CHAMA CHENU KIMEPOTEZA IMANI
 
Wametakiwa wafike ofisni kwa ajili ya 'utaratibu mwingine'

Bila shaka ni kujaza fomu za kuchangia ile 1 million kwa kila mbunge wa viti maalum kwa Chama utaratibu ambao ulilalamikiwa sana na Wabunge wa viti maalum wa bunge lililopita
This time ni 3M
 
Sasa serikali kama hii ya CCM tutaamini vipi, inafanya vitu fake kama hiki kitu. Walichapaisha kura feki, kila kitu ni fraud. Hivi kwenye international community hadithi kama hizi zikisimuliwa nani ataamini hizi serikali za CCM? Education fake, watu fake, what is real in Tanzania.

Laaaaaanaaaaaaaaaaaa
 
Wewe ni mpumbavu hivi huu upumbavu utawapeleka wapi muda ukifika utajijua kuwa ni mpumbavu tu.
 
Kwa nini asubiri mpaka wafike? Wangapi chama kimewachukulia hatua na hataa kuwafukuza bila ya kuwaita hawa wana nini?
 
Hakuna mtu Anabishana na Serikali au anataka kuikomoa serikali na akafanikiwa

Wale wabunge wote wataendelea kwenda bungeni kama kawaida kwa miaka yote 5 na baada ya hapo watakuwa wameshajipanga kuishi bila chadema

Na mwisho wa siku 2025 chadema haitopata hata diwan mmoja
 
Utasubiri sana majibu. Hapo ndio utajua Mnyika anapiga kiswahili tuu
 
Kwa hiyo akina Mdee wamekubali kufanywa feki? Shukurani zao za jana kwa chama kuwateua ni feki. Kama ni feki si wajiondoe kwa nini wasingoje kuitwa.
 
Jibu la maswali yote hayo Ni moja tu.CHADEMA NI MATAPELI WA SIASA TU,MASLAHI MBELE MENGINE BADAE.

WACHA TU WAPAMBANIE WAPATE UBUNGE WALIPE MIKONO YAO
Kwahiyo kwa akili zako CHADEMA wanaweza kumtoa mtu aliyekuwa mahabusu na kumfanya akaapishwe kuwa mbunge?! Hivi hata hapo napo unatakiwa kupelekwa shule kujua hujuma mzima ina mkono wa serikali ili hatimae wapate kuhalalisha udhalimu waliofanya kwenye uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…