Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahahahahahahah!!!Wametakiwa wafike ofisni kwa ajili ya 'utaratibu mwingine'
Bila shaka ni kujaza fomu za kuchangia ile 1 million kwa kila mbunge wa viti maalum kwa Chama utaratibu ambao ulilalamikiwa sana na Wabunge wa viti maalum wa bunge lililopita
content ya press umeisikilza?Mnyika kapwaya sana. Body language speaks. Inabidi tu amfuate Dr. Slaa.
Very sad kwa kweli. Haya mambo yangefanywa na kina Joyce, Nusrat au Hilda isinheshangaza sanaHapo aibu kubwa ni kwa Halima Mdee, Very senior leader kushiriki ujinga huo kwa kweli si kwa leve yake inasikitisha sana.
Wazee wa KUIBADILI GIA angani wana jambo lao bana.....Maswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/Mnyika:
1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?
2. Orodha hiyo imepelekwa kwa njia gani?
3. Kama msimamo wa chama na wa Katibu Mkuu ni kuwa Orodha haikupelekwa, walioapishwa jana walipatikanaje?
4. Hatua gani zinachukuliwa na CHADEMA ikiwa usaliti umetokea?
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
6. Nani yuko nyuma ya suitafahamu hii nzima ndani ya CHADEMA na anashughulikiwaje?
🤣🤣Majina kapeleka Mbowe hilo mbona linajulikana.
Leo Mnyika anajiuzulu na Nyalandu atakaimu ukatibu mkuu!
Hawa ndio wale mashabiki mandazi anasimulia mpira ulivyokuwa wakati hakutazama gamecontent ya press umeisikilza?
Deep thinking ni kubariki maamuzi ya kihuni ambayo hayajapitishwa na kamati kuu??Mojawapo ya tatizo kubwa la cdm ni kufanya vitu kwa hisia na jaziba,hakuna deep thinking yaani,,
🤣Huu ni muendelezo wa sanaa Kama Sanaa nyingine tu, tuendelee kuwatafutia watoto ugali jamani.
Let's meet at the top, cheers 🍻
roho imewauma sana mataga baada ya Chadema kuwakataa hawa wasaliti.hawa ndio wale mashabiki mandazi anasimulia mpira ulivyokuwa wakati hakutazama game
Ni TBCTv gani wanaonyesha?
kamati kuu imewaita tarehe 27 kwa hiyo suburi matokeo.Kama ni kweli ebu wafutieni uwanachama.