Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Ndipo mtazidi kuthibitisha CCM ni wepesi zaidi ya pamba, pamoja na polisi, tume, kama wapiga kura hawako upande wako, huna lakufanya zaidi ya wizi tu.
 
Viashi
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Viashiria vya vurugu vitabarikiwa kwenye madhabahu ya mchungaji wa river side ubungo.
 
Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Namchukia shetani na kazi zake zote
 
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Kwani wana mpango wa kugombea?
 
Kanisa lako?

Hapa nilipo ni kama nakuona vile. Zile mbwembwe zote kuwa ccm inakubalika na itashinda kwa 98%, kumbe mbinu zilikuwa hizi! Tumesema sana kuwa Magufuli yuko kwenye siasa, na madaraka aliyonayo kwa sababu katiba yetu inatoa mwanya kwa viongozi kuchezea chaguzi. Huu uhuni ndio uliopelekea mapenzi bandia kwa Mbatia hivi karibuni, ili atumike na vibaraka wengine kama kina Lipumba baada ya kupoteza mvuto, ili kufunika dhuluma.
 
Niliuliza swali, sijui uliliona? Hivi Chadema itagombea uchaguzi wa Oktoba, 2020?
 
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
CCM kwanini inalazimisha kutawala bila ridhaa ya wananchi?
 
Back
Top Bottom