Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sasa hapo CCM inaingiaje???
Hizo figisu ni maagizo ya ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo CCM inaingiaje???
nyinyi ni tofauti na sisi.sisi tunaamini mungu ndo muweza wa yote,nyinyi chadema mnaamini kupinga kila jambo na kutukana viongozi ndo mafanikio yenu.
Hee! Mnyika twambie sasa mnachukua hatua gani? Hii ni aibu kubwa kwa nchi yetu? Upinzani tunaoambiwa kila siku umekufa ndio unaogopwa to this extend ya kujitia aibu. Mbona hawajiamini kivile, uwanja wao, refa wako; wapinzani wako umewafunga kamba, bado unataka kuwafunga macho halafu mcheze mechi na udai ushindi. Aibu yenu, hata nyie!Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Sasa ulitaka wakutangulize wewe?Alafu utawasikia wakisema,"tumtangulize Mungu"!
Ukitaka kuamini kuwa Mnyika ni mnafiki, mwoga na lengo lake ni kuwateka kiakili Watanzania wajinga, kwa nini hayo maneno hakusema kwenye mkutano na badala yake aliwaita waandishi pembeni akawalisha upuuzi huu ndio maana hakuna hata chombo kimoja kimeripoti zaidi ya mitandao ya CDM.Mi nawatahadharisha Watanzania kipindi hiki tunatakiwa kuwa makini ni siasa hizi za kutafuta huruma ya watanzania.
Huna haya weweNi jambo jema!
Wewe unadhani kwanini JJ Mnyika amesaini?Huna haya wewe
watesaji na wauwaji wapo US,hoo"Man I can't breath"Huwez Muamini Mungu then ufurahie kutesa,kufunga na hata kuua
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waliwaogopa CCM ndio maana hawakushiriki?
Hapa ndipo ninapoona shida yetu,Watanzania,taarifa hii sio sawa,ni hisia na kutaka kuonewa huruma.kanuni yenyewe haijawakilishwa,tume haijasema wanakusudia kubadilisha kanuni,leo sisi tunaanza magoli ya mkonoMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.