Toa ukweli sasa da nawasikitia walio kuzaa maana kama wewe ni mwanaume nakupa pole ila kama ni mwanamke ni mwanamke was hovyo sanaChadema acheni uwongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ukweli sasa da nawasikitia walio kuzaa maana kama wewe ni mwanaume nakupa pole ila kama ni mwanamke ni mwanamke was hovyo sanaChadema acheni uwongo
Toa ukweli sasa da nawasikitia walio kuzaa maana kama wewe ni mwanaume nakupa pole ila kama ni mwanamke ni mwanamke was hovyo sana
Sipo kutisha watu hapaUsinitishe wewe hito
Sipo kutisha watu hapa
Unataka nini Wewe kijakazi wa Mabeberu
Mi kijakazi wa mabeberu sawa ila jua bila hao mabeberu hata nchi yako isinge pata maendeleo mnawaita mabeberu wakiwapa kitu wadau wa maendeleo ila nisha ngundua nati kichwani hakuna sita kujibu tena maana nimekuona kilaza tu na unisamehe sana sikujua
Alafu utawasikia wakisema,"tumtangulize Mungu"!
Yaani Mafanikio yote hayo ya CCM Bado wanaogopa tuu!Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Ikitokea NEC imetengeneza kanuni hiyo, hapatakuwa na haja ya kushiriki uchaguzi tena maana tayari utakuwa umekwisha fanyika.Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Ndiyo màana ya uchaguzi huru na wa haki.Unajua Mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake wanateuliwa na nani?!
Sasa hapo CCM inaingiaje???Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Dawa ni tume huru ya uchaguz na matokeo ya urais kupingwa mahakama huru ya kikatibaMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Serikali iliyotekelezA ahadi ilizotoa kwa kipindi cha miaka mitano inaogopa upinzani haya ni maajabuMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.
Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
CCM Kwisha kabisa haiwez kushindana tena kilichobaki ni goli la mkonoMnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.