Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

nyinyi simnamuona mbowe mungu,kila analosema hewala,sasa sisi tunasema mungu tuvushe.kwa uwezo wa bwana wamajeshi tutashinda ushindi wa kishindo cha corona.atuna muda mchafu
Kukusaidia tu ili siku nyingine usirudie kosa andika hivi:
mungu.......Mungu
bwana........Bwana
mbowe........Mbowe

Jifunze kusoma na kuandika ndio uje siku nyingine utoe povu lako hapa jamvini.
 
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Kuna kipindi nilikata tamaa kwamba uchaguzi Wa mwaka huu 2020 sitopata raha ,aisee kumbe uchaguzi Wa mwaka huu utakua na amsha zidi Wa 2015.
Mungu bariki vyama vyote vya siasa na neno litimie kama yalivyo mapenzi yako
 
Kukusaidia tu ili siku nyingine usirudie kosa andika hivi:
mungu.......Mungu
bwana........Bwana
mbowe........Mbowe

Jifunze kusoma na kuandika ndio uje siku nyingine utoe povu lako hapa jamvini.
uchumi wa tanzania umepaa kwa mudamfupi sana tangia Rais John Pombe Magufuli aingie madarakani.
chadema wakaanza kuhama chama kwa fujo.mbowe kaanza kuchanganyikiwa anavaa gloves za malkia elizabeth.mungu mkubwa,mungu ndo bwana wamajeshi
 
Yote haya wa kujilaumu ni sisi wananchi, hatujielewi kabisa, mambo yanafanyika ovyo ovyo tumetulia tu, eti tunategemea Chadema itusaidia, tutaumia sana
Chadema ni pamoja na wewe na wala sio m/kiti na katibu tuu,
 
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Ccm wanapanga kila namna ya kukwiba kura za wananchi, ila chamtema kuni watakiona
 
Nendeni majimboni acheni kulialia mitandaoni hakuna kitakachowasaidia zaidi mjiandae na maumivu tu watz hawana mpango na chadema anymore!
Watu Kama nyie mko wengi sana bongo ndio maana nchi haiendelei watu wanaishi kwenye nyumba nyasi miaka 61 ya uhuru
 
Kama mawakala fomu za matokeo maana yake hakuna uchaguzi kunakuteuliwa.
 
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha. goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
Yameanza kusukwa. Tulitabiri mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa kujirudia. Pole wa Tz. Tunaelekea wapi?
 
Hii kanuni unafaa kupingwa hata Mahakamani .Hivi kama ukifunga matokeo ukipenda Mahakamani utakuwa na ushahidi upi ?
 
mawakala wana kazi gani wakipewa rushwa tu wanaenda home kulala!
 
Kama mawakala fomu za matokeo maana yake hakuna uchaguzi kunakuteuliwa.
Hata mawakala hawatakuwa na maana yoyote vituoni.

Wameona kuwakata mapanga na mitama mawakala wa vyama vya upinzani ni risk sana hivyo wameamua wawaondoe tu ili wajihesabie kura wanavyoweza.
 
Back
Top Bottom