Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Ndipo mtazidi kuthibitisha CCM ni wepesi zaidi ya pamba, pamoja na polisi, tume, kama wapiga kura hawako upande wako, huna lakufanya zaidi ya wizi tu.
 
Viashi Viashiria vya vurugu vitabarikiwa kwenye madhabahu ya mchungaji wa river side ubungo.
 
Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
Namchukia shetani na kazi zake zote
 
Kwani wana mpango wa kugombea?
 
Kanisa lako?

Hapa nilipo ni kama nakuona vile. Zile mbwembwe zote kuwa ccm inakubalika na itashinda kwa 98%, kumbe mbinu zilikuwa hizi! Tumesema sana kuwa Magufuli yuko kwenye siasa, na madaraka aliyonayo kwa sababu katiba yetu inatoa mwanya kwa viongozi kuchezea chaguzi. Huu uhuni ndio uliopelekea mapenzi bandia kwa Mbatia hivi karibuni, ili atumike na vibaraka wengine kama kina Lipumba baada ya kupoteza mvuto, ili kufunika dhuluma.
 
Niliuliza swali, sijui uliliona? Hivi Chadema itagombea uchaguzi wa Oktoba, 2020?
 
Huyo naye kanenepa mashavu tu kama paka wa kwa matajiri.Hana jipya,bora Mashinji.
 
CCM kwanini inalazimisha kutawala bila ridhaa ya wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…