Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"

Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani. Haimaanishi Mike Tyson ndio alikuwa bondia bora hell no.

Wakati wake kulikuwa na mabondia wa ukweli kama " The Real Deal" ambae mimi nasema ndio bora kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia ukiachana na " Utatu mtakatifu wa mabondia" i.e Mohamed Ali, George Foreman na Joe Frazier.

But wakati wa Tyson, Tyson aliimbwa yeye tu. It was as if he was the only boxer.

Kama asingekuwa exposed na Evander hiyo mwaka 96 basi up to this time bado runge amini Mike ndio bondia bora wa wakati wote.

Back to Mandonga. Mandonga ametokea kupendwa sana na watu.

Huwezi amini sasa hivi bar zote Tz zimejaa kila mtu anataka kumtazama Mandonga.

Taifa zima limesimama kila mtu anataka kumshuhudia Mandonga akifanya vitu vyake.

Mangonga ni " Mike Tyson" katika aspect ya kupendwa na watu.

50 cents aliwahi kusema mwaka 2003 na mnukuu " in hood they say there is no business like ho business but on hollywood they say there is no business like show business" na mimi naongeza yangu " In Tanzania Boxing there is no business like Karim Mandonga".

Karim Mandonga mbele kwa mbele
 
VP mkuu kafanikiwa kurusha hata ngumi moja huko?

Au muda bado
Muda bado, lakini ndo bondia kipenzi cha wengi kwa sasa Tz, anatisha kwa tambo na maneno ya kuogofya mpinzani.
Leo huko Songea alikuwa na mashabiki kibao, yaani kuna shabiki kampa ofa ya kutembelea Jeep huku akiongea na mashabiki wake akiwa juu mithili ya Magufuli akiongea na umati wa wananchi.

Mandongo inatakiwa leo apigwe tena, hii itasaidia kuongeza brand yake kuliko akishinda pambano lake usiku huu.
 
Jamaa ana pendwa sana. Gracious Mandonga
 
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"

Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani. Haimaanishi Mike Tyson ndio alikuwa bondia bora hell no.

Wakati wake kulikuwa na mabondia wa ukweli kama " The Real Deal" ambae mimi nasema ndio bora kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia ukiachana na " Utatu mtakatifu wa mabondia" i.e Mohamed Ali, George Foreman na Joe Frazier.

But wakati wa Tyson, Tyson aliimbwa yeye tu. It was as if he was the only boxer.

Kama asingekuwa exposed na Evander hiyo mwaka 96 basi up to this time bado runge amini Mike ndio bondia bora wa wakati wote.

Back to Mandonga. Mandonga ametokea kupendwa sana na watu.

Huwezi amini sasa hivi bar zote Tz zimejaa kila mtu anataka kumtazama Mandonga.

Taifa zima limesimama kila mtu anataka kumshuhudia Mandonga akifanya vitu vyake.

Mangonga ni " Mike Tyson" katika aspect ya kupendwa na watu.

50 cents aliwahi kusema mwaka 2003 na mnukuu " in hood they say there is no business like ho business but on hollywood they say there is no business like show business" na mimi naongeza yangu " In Tanzania Boxing there is no business like Karim Mandonga"

Karim Mandonga mbele kwa mbele
Sijui umekula kiporo? Hapo kuna bondia ?
 
Daah jamaa ana maneno ya kutisha sana, ila ile clip yake anayopambana na mti inaogofya mno au ile aliyobeba gogo kama la 90kg huku anakimbia acha kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sana he has got a very entertaining personality. He is a sportsman indeed. Michezo ni furaha na Mandonga yupo kwa ajili ya kuwafanya watu wawe na furaha
Nimeshangaa kwenye vibanda umiza na bar wameandika pambano la Kidunda wakati Mandonga ndio habari ya mjini. Me sio mpenzi wa ngumi lakini huyu mwamba leo inabidi tu nikamuangalie.
 
Mandonga ndie "Haji Manara" wa ngumi. Inabidi awe na account ya instagram awe anapost mikwara yake. Lazima atapata followers wa kutosha na kupata madili mengi mno. Inabidi awe na mikwara halafu anapigwa 🤣. Lazima atakuwa maarufu sana Tanzania
 
😂😂😂 So leo inabidi apigwe ili alinde brand yake
 
Mandonga size inamrudisha nyuma sana.

Sikua namjua ila baada ya kuona majigambo yake mengi mitandaoni ikabidi nitafte pambano lake la hivi karibuli alilopigwa, bado ana safari ndefu sana kufikia mafanikio. Bado mwepesi sana.

Tukirudi kwa mtoa mada, Tyson alikua bora sana kwa miaka yake ya 1985 hadi 1992 kabla hajaenda Jela. Tyson baada ya kutoka jela hakua Tyson yule tuliyemzoea. Kipindi yuko jela ndio kina the real deal, Bowe, Lenox nk wakaibuka kwa sababu aliacha ombwe la uongozi wa ubingwa na kwenda jela.

Tunaweza kusema jela ilimharibu Tyson lakini pia nakubaliana na wewe the real deal alikua na moyo wa simba alipokua kwenye muda wake, at his prime.
 
😂😂😂 So leo inabidi apigwe ili alinde brand yake
Akianza kushinda ataharibu brand yake na watu watamzoea kuwa anashinda mapambano. Watamuona wa kawaida. Unajua Tanzania inatakiwa ujitoe akili ufanye ujingaujinga ndio unapiga hela kwelikweli. Au awe ana balansi kidogo anashinda mapambano lakini pia anapiga mikwara mizitomizito kisha Anapigwa. Yaani nahisi atakuwa bondia namba moja duniani ambaye anapata hela ndefu kwa kupigwa 🤣

Watu huku kwenye vibanda wengi wanamsubiria mandonga. Hata pambano kuu limezimwa. Hata watu hawana time nalo.
 
Yeah sure Mandonga ndio habari ya mjini
 
Back
Top Bottom