Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

Big up namfuatilia mwanzo mwisho mandonga kateka soko si watoto si wadada hope mikwara yake inaleta mvuto nilizoea kumuangalia mwakinyo ila leo na kuendelea mandonga mtu kazi

Naweza kusema hy na mambo yake kama diamond kweny mziki alianza ivi ivi kiutani utani pale mbgala live mpaka kafika mbalj

Kwa mara ya kwanza nawaona wadada wengi hawana mambo ya ngumi wanampost
 
Kaoneka kadandia mtumbwi kibwengu.... Ndo mtumbwi gani wakuu??
 
Mtu kazi... Siongei sana... Naongea na ndonga
FB_IMG_16592100710067408.jpg
 
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"

Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani. Haimaanishi Mike Tyson ndio alikuwa bondia bora hell no.

Wakati wake kulikuwa na mabondia wa ukweli kama " The Real Deal" ambae mimi nasema ndio bora kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia ukiachana na " Utatu mtakatifu wa mabondia" i.e Mohamed Ali, George Foreman na Joe Frazier.

But wakati wa Tyson, Tyson aliimbwa yeye tu. It was as if he was the only boxer.

Kama asingekuwa exposed na Evander hiyo mwaka 96 basi up to this time bado runge amini Mike ndio bondia bora wa wakati wote.

Back to Mandonga. Mandonga ametokea kupendwa sana na watu.

Huwezi amini sasa hivi bar zote Tz zimejaa kila mtu anataka kumtazama Mandonga.

Taifa zima limesimama kila mtu anataka kumshuhudia Mandonga akifanya vitu vyake.

Mangonga ni " Mike Tyson" katika aspect ya kupendwa na watu.

50 cents aliwahi kusema mwaka 2003 na mnukuu " in hood they say there is no business like ho business but on hollywood they say there is no business like show business" na mimi naongeza yangu " In Tanzania Boxing there is no business like Karim Mandonga".

Karim Mandonga mbele kwa mbele
Watanzania ni watu wa kudandia vitu Wala hakuna anayempenda huyo mandonga hata wanaopenda boxing yenyewe wanahesabika.....MTz akishaona kitu kinatrend mtandaoni na yy anaunga tela anafuata mkumbo

Kamata mfuata mkumbo mmoja muulize round moja ya boxing ina dk ngap Kama hujashangazwa na majibu yao
 
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"

Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani. Haimaanishi Mike Tyson ndio alikuwa bondia bora hell no.

Wakati wake kulikuwa na mabondia wa ukweli kama " The Real Deal" ambae mimi nasema ndio bora kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia ukiachana na " Utatu mtakatifu wa mabondia" i.e Mohamed Ali, George Foreman na Joe Frazier.

But wakati wa Tyson, Tyson aliimbwa yeye tu. It was as if he was the only boxer.

Kama asingekuwa exposed na Evander hiyo mwaka 96 basi up to this time bado runge amini Mike ndio bondia bora wa wakati wote.

Back to Mandonga. Mandonga ametokea kupendwa sana na watu.

Huwezi amini sasa hivi bar zote Tz zimejaa kila mtu anataka kumtazama Mandonga.

Taifa zima limesimama kila mtu anataka kumshuhudia Mandonga akifanya vitu vyake.

Mangonga ni " Mike Tyson" katika aspect ya kupendwa na watu.

50 cents aliwahi kusema mwaka 2003 na mnukuu " in hood they say there is no business like ho business but on hollywood they say there is no business like show business" na mimi naongeza yangu " In Tanzania Boxing there is no business like Karim Mandonga".

Karim Mandonga mbele kwa mbele
Kamuokote huko, kashachapika..atafute kazi ingine ya kufanya, atakufa.
 
Huu wimbo wa Taifa wanaotumia hawa waandaaji wa haya mapambano wameutoa wapi? Mapambano yote wanautumia huuu huu , unakuwa na fade out katikati kama umeisha kwa pozi ndeefu , watu wanashangilia unaanza tena
 
Nilipita sehemu,nikasikia watu wanasema,Mandonga mtu kazi... sikuekewa,kumbe....
 
Mandonga anapiga miti na inakubali leo hii anapigwa kirahisi hivi[emoji23]hapana lipo jambo.mzee wa kazi ajipange tena upya asahau yaliyopita,naamini next time Mandonga atauwa mtu kwenye ulingo[emoji23][emoji28]
 
Back
Top Bottom