Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Karim Mandonga ndio "Mike Tyson" wa ngumi za Tanzania kwa sasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapigwa tena mtu wenu
 
50 cents aliwahi kusema mwaka 2003 na mnukuu " in hood they say there is no business like ho business but on hollywood they say there is no business like show business"

P.I.M.P _ 50 cent Feat Snoop Dog Dogy.
 
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa huyo jamaa ila leo kaniangusha sana.bora ata lile pambano la morogoro alilopigwa ngumi jiwe moja akakaa.Ila huyu jamaa nahisi kuna kilevi anatumia sio bure.Au ngumi sio mchezo wake anafanya kama fan tu ndo maana hayuko serious.Anatukwaza mashabiki wake.
 
Hakuna kitu kama hicho.kwasababu haya mapambano yanafadhiliwa na mapromota.sasa sidhani kama kuna promota atakayekubali huo ujinga.Huyo bwana hana zaidi ya mapambano mawili mbele baasa ya hapo kila mpenda masumbwi atamdharau hata atoe tambo vip.Mashabiki wote tunapenda vitu vizuri kutoka kwa wake tunaowashabikia.
 

We ndo ulimchulia lkn bora angeshinda sasa anapotea kabisa mzee [emoji28][emoji28]
 

Manzi wangu sio mshabiki wa vitasa kabisa lakini ilibidi anilazimishe twende baa tukamuangalie Mandongo [emoji23][emoji23]

Sidhani kama upo sahihi kusema wanafuata mkumbo kwa trend za mitandaoni....... ndio dunia ya sasa ilivyo all over the World na sii Bongo tu

Mandonga anakipaji cha kujibrand kwa tambo zake za ki comedian, ukimuona anavyotamba kwenye social media na historia yake lazima utatamani kuona atafanya nini ulingoni

Sikuamini nilichokiona, pambano la mandongo ndio lilikua linasubiriwa kwa hamu kubwa na washabiki β€œwapya” wa ngumu ambao kimsingi walikua wengi kuliko washabiki kindaki ndaki wa boxing ambao walikua wana shauku na pambano mama

Usibeze kupaji cha mandonga katika kuvutia watu kumuangali kwa majigambo kwa mgongo wa wabingo tunafuata mkumbo wa trend
 
Karim Mandonga mbele kwa mbele[emoji23]

LIKUD watakuja kumuua ujue
 
Ngumi alizokuwa anapiga Tyson unazifananisha na za bondia gani dunia.ambao tumewaona.
 
haha, Mkuu naona utabiri wako ulitimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…