Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Hili suala lina kero za kweli na mambo ya ujanja janja na hisia pia.
Ngoja nijipe ujasiri wa kujazia kwenye mabano:

"Kero za kweli" - sheria mbovu zinazoruhusu mianya ya rushwa

"Mambo ya ujanja ujanja" - wafanya biashara kutumia mianya ya ubovu wa sheria hizo hizo mbovu kutolipa kodi stahiki

"hisia" - serikali (akina Mwigulu, hadi akina Samia), na hao wafanya biashara wenyewe, hakuna malaika hapa.
 
Umesema kubeba tani 4 mpaka 10 to mwanza ni sh ngapi tena?
 
Binafsi nimekuwa napinga sana hili swala la kuleta chuki binafsi za Kisiasa Kwa mtu..

Hakuna anaweza kukupa majibu hapa isipokuwa ni upuuzi tuu..

Ukiangalia kinachoitwa mgomo hapo ni issue Zenye msukumo wa Kisiasa ndio maana eti Kodi akusanye mwingine,Rushwa aombe mwingine,Sheria za Kodi zitungwe na Bunge harafu aje kulaumiwa Mwigulu,inakuja?

Nimeuliza hili swala sijapata majibu Hadi Sasa hivi.
Ukikuta madudu wizarani hurekebishi?
 
Wewe ni mwenye chuki sana sema upendi mabosi wako wafanyiwe chuki.
 
Au hajasikia wafanyabiashara wanavyomnanga
Wanasema wakilalamika anamwambia sijadiliani na waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema wafanyabiashara wamejua kumchamba jamaa bila kupepesa macho.
Ebu shangaa vyote hajaviona mwigulu hasafishiki
 
Mwigulu ndio waziri mwenye dhamana, hivyo hakuna namna atakwepa lawama hizi.
Kwanza angekua muadilifu na kulinda heshma ndogo aliyo baki nayo, alipaswa awe amejiuzulu.
Madudu mangap yanafanyika nchi hii? Umeshawahi kuona wahusika wamejiuzulu? Au mnataka mwigulu awe wa kwanza kujiuzulu?
 
Ebu shangaa vyote hajaviona mwigulu hasafishiki
Mkuu, tatizo siyo Mwigulu. Ila ni mifumo na sheria. Sheria nyingi za kodi zinapaswa zikarekebishwe bungeni.
Tuache chuki binafsi kwa mwigulu.tuwalaumu wabunge wetu walio pitisha hizi kodi kandamizi.
 
Wakuu Salam,

Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya kariakoo na mkoa wa Pwani.

Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.

Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;

1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Wazir wa mambo ya ndani.

2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 had Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.

3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.

Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.

4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.

5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.

Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.

Ni hayo tu,tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
huna duka kkoo labda kigoli
 
Sasa ni Mwigulu kaleta Hilo? Hizo Sheria zinafungwa na Wataalamu wa uchumi na Kodi na zinapelekwa Baraza la Mawaziri kisha Bungeni,huko Bungeni Kuna wafanyabiashara Sasa kama ni mbaya Kwa nini wasizikatae?
Kwani wakati wa utawala wa Nyerere , Mzee Mwinyi akiwa waziri wa Mambo ya ndani kwanini alijiudhuru Kwa kosa la police kuuwa raia ? . Kwani ni Mzee Mwinyi ndo alishika mjegeje na kuwapiga raia ?
Madudu yametokea kwenye mipaka ya utawala wako , uungwana ni kuwajibika .
 
Wewe na fortilo nimewafuatilia michango yenu nimegundua yafuatayo;

1. Id mbili ni mtu mmoja.
2. Hamjawasikiliza vizuri wafanyabiashara.
3. Umejikita kumtetea mwigulu bila kuonesha hao wafanyabiashara walipaswa kufanya nini?
4. Wewe siyo mfanyabiashara.

5. Hili ndilo haswa lililo nifanya nichangie mada ni kwamba hata wewe haujui kazi ya waziri.

Siyo kweli kwamba waziri ni msikilizaji tu wa utngaji wa sheria hapa unadanganya maksudi ili Mwigulu asionekane na kosa ktk sakata hili.

Moja ya kazi muhimu Sana na inayotarajiwa kwa waziri yeyote ni kutoa ushauri wa kitaalam ktk sekta husika, haijalishi yeye ni mtaalam au laa atajua atumie nini ili kutumiza wajibu huo. Ktk wajibu huu hapa ndipo palipo na makosa ya Mwigulu kama ifuatavyo;

(a) Yeye kama waziri alikuwa na uwezo wote wa kushauri juu ya sheria mbovu za kikodi ambazo wewe unakiri kuwa hazikuanza leo wala jana. Fursa ya ushauri ipo ktk baraza, bunge, na kwa Rais mwenyewe.

(b) Huyu Mwigulu amekaa na wafanyabiashara na kupata changamoto zao wala hakujali (rejea nukuu za wafanyabiashara).

(c) Waziri wa fedha anayehusika na uchumi hakupaswa hata kidogo kupuuzia mvutano wa wafanyabiashara na TRA hata kama sheria zilikwisha pitishwa eti tu suala hilo linamhusu mkuu wa mkoa, kea waziri wa namna hii hakika hafai ni sawa na yule wa biashara. Yaani mgogoro uko ndani mwako unakaa eti mkuu wa mkoa asiye na wajibu huo aingilie Kati! Hapa Elimu haijatumika!

(d) Pamoja na makosa mengine pia kauli ambazo Mwigulu amekuwa akizitoa juu ya kudhadadia sheria zinazokandamiza nayo imeibua hisia hasi ktk mgogoro huu ikiwa ni pamoja na kauli ya waziri wa viwanda. Na hii imekuwa tabia mbaya kwa baadhi ya mawaziri.
Sawa ,nikuulize wewe ni Waziri wa Fedha na umebobea kwenye mazingira au Utawala, Ushauri gani wa kitaalamu wa Kodi na Uchumi unaweza kutoa? Sidhani kama hiyo ndio Kasi ya Waziri hata kama kasomea Uchumi ila sio msomi sheria za Kodi nk..

Swala.la.kodi.kubwa au ndogo nimewahi msikia Waziri Mwigulu akisema Bungeni kwamba angeoenda hizo kudi ziwe hata 8% lakini Kwa uchumi Wetu wa Sasa hauruhusu Hilo na sababu ni nyingi
-Tuna mahitaji makubwa vs vyanzao
-Tuna mianya Mingi ya ukwepaji Kodi na Serikali inapambana nayo,
-TRA Ina upungufu mkubwa wa staff kuweza kuwafikia watu wote.
-Wafanyabiashara wengi hawatunzi taarifa za biashara zao kitaalamu kama kampuni hivyo kuwa na Changamoto kubwa za ukadikiaji ,
-Wananchi hawana utamaduni wa kulipa Kodi achilia mbali wafanyabiashara Kwa hiyo Ili kufidia lazima kuwe na Kodi kubwa na za aina mbalimbali..

Mwisho,nikuulize wewe bwana hivi Rais akikupa uwe Waziri wa Fedha utaweza ku meet matakwa ya kibajeti Kwa mbinu zipi? Ziweke hapa Ili tuone kama kweli Mwigulu amefeli na wewe unaweza kufaulu..

Katika kundi siwezi kulitetea ni wafanyabiashara Kwa sababu nafahamu kwamba Huwa wanakwepa Kodi na hata Mimi nakwepa Kodi kwenye biashara yangu ,huu ndio ukweli lakini sababu ni hizo hizo kwamba Kuna utitiri wa Kodi na tozo ambazo sio tuu ni za TRA Bali ni za mataasisi mengine isipokuwa VAT ya TRA ni kubwa zaidi so hata iwe bei ndogo Huwa nakwepa.
 
Kwani wakati wa utawala wa Nyerere , Mzee Mwinyi akiwa waziri wa Mambo ya ndani kwanini alijiudhuru Kwa kosa la police kuuwa raia ? . Kwani ni Mzee Mwinyi ndo alishika mjegeje na kuwapiga raia ?
Madudu yametokea kwenye mipaka ya utawala wako , uungwana ni kuwajibika .
Alikurupuka tuu na ndio maana Bado Rushwa Polisi wanakula na wanaua.raia nk so dawa sio kujiudhuru ila kutatua shina.la mzizi.
 
Wakuu Salam,

Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.

Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.

Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;

1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.

2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.

3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.

Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.

4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.

5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.

Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.

Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Kama wewe ni mfanyabiashara Kariakoo, je ulishiriki vikao na wenzako? Je kwanini hukuyasema huko vikaoni?
 
Mkuu haya mambo nakuelewa sana, hoja yangu hapa ni kwamba Mwigulu amekosea nini?
Tumelia na haya masheria mabovu kwa miaka hata kabla ya Mwigulu, leo nashangqq kishabiki kabisa anabebeshwa zigo lote.
Lazima abebeshwe kwasababu yeye ndiye waziri mwenye dhamana.Amekuta madudu kwenye wizara yake anatakiwa kuyafanyia kazi sio kuyakwepa kwakigezo cha sikuwepo.Kama huo ndio utetezi wake apishe ofisi.
 
Wakuu Salam,

Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.

Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.

Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya sheria zilizopo kumgandamiza bila sababu. Mfano;

1. Hoja ya fine ya kutokutoa EFD recept sio ya leo, na hii ilipingwa sana na aliekuwa mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka, nilishangaa sana yale mapendekezo, kama kawaida ya bunge letu, papatu papatu hoja ikapita ikawa sheria, kipindi hicho Mwigulu ni Waziri wa mambo ya ndani.

2. Hoja ya ushuru wa malori, Ndugu Chuki anaweza kuwa ana issues personal na Mwigulu na siwezi kuwaingilia, ila kodi ya 2.7M sio kubwa kama anavyodai, kumbuka kubeba ton nne au 10 hadi Mwanza ni zaidI ya 1.5M na hiyo ni non negotiable. Kutaka hiyo gharama iingizwe kwenye diesel ni ku shift tax burden to non beneficiaries, ambayo ni unfair taxing.

3. Hoja za registration of warehouse sio kitu kipya na wengi tumesajili nikiwemo, hoja za umiliki ni jambo jingine, labda tuseme issue ya With holding Tax ndio haijakaa sawa, lakini kulalamika kwamba tusisajili sio Sawa kabisa.

Kwenye ethical business ni lazima usajili store na ulipie usimamizi wake, ikiwa na vigezo vyote. Hii ni excuse ambayo kumlaumu nayo Mwigulu ni ku choose easy victim.

4. Hoja za task force zilikuwepo toka kipindi cha Mwendazake, kwamba tunasumbuliwa hili ni kweli na ni suala la kuweka utaratibu tu wa namna ya ku control, ambayo sikuona sababu ya kumzodoa mwamba vile.

5. Utitiri wa kodi kwenye biashara na mamlaka nyingi zinazosimamia jambo moja ni suala la kurithi na Mwigulu sidhani kama ni wa kulaumiwa 100% , issue hapo ni CCM kuweka na kuunda hizi taasisi kutafutia washkaji wao ulaji.

Kuna kila sababu ya kuunganisha taasisi nyingi sana ili kuondoa usumbufu.

Ni hayo tu, tumuhukumu Mwigulu kwa mengine lakini sio moja kwa moja kwa baadhi ya sheria ambazo amezikuta.
Utakuwa mchepuko wake Mwigulu. Huwezi ona kosa lake. Naona mnajaribu sana kupapatika....
 
Nchemba ndio maana alifukuzwa na Mzee kumleta harafu kumpa sehemu muhimu ni kosa sana hakuna mtu pale yeye ndio chanzo cha matatizo yote haya sijui Mama anataka watu wafanyeje ndio atatuelewa..
 
Back
Top Bottom