Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Unamjua mfanya biashara kwa jina la Ramadhan Nhtuzwe...[emoji848]
Huyu jamaa alikua mfanya biashara hapo kariakoo, na kwakifupi alikamatiwa mizigo yake na TRA.
Jamaa amefilisika na juzi nilimuona wilayani Urambo mkoa wa Tabora, amefungua duka la kawaida na anauza bidhaa za nyumbani kwa rejareja kama duka la mangi.

Kama alikua mwizi why asifilisiwe ? Mmezoea ujanjaujanja sana fuateni taratibu hamtakamatwa
 
Mwigulu, mchengerwa, na huyu Kijaji ndio mawaziri wanaongozwa kuchukiwa ndani ya Bunge mpaka nje ya Bunge

Kwanza Wana majibu ya shombo Sana

Pili hata ukifanya nao mkutano wa mambo serious hakuna kinachotokea

Utatoa majibu ya shombo kwa shombo mfano wafanyabiashara walikua wanalalamika jamaa anawajibu vibaya wabunge wenzake linahusiana nini na Madai yao and hamkusikia baadhi ya wafanyabiashara wakitukana kabisa matusi na kejeli kibao why asiwajibu kwa namna ya kila mmoja alivyotoa hoja yake
 
Binafsi nimekuwa napinga sana hili swala la kuleta chuki binafsi za Kisiasa Kwa mtu..

Hakuna anaweza kukupa majibu hapa isipokuwa ni upuuzi tuu..

Ukiangalia kinachoitwa mgomo hapo ni issue Zenye msukumo wa Kisiasa ndio maana eti Kodi akusanye mwingine,Rushwa aombe mwingine,Sheria za Kodi zitungwe na Bunge harafu aje kulaumiwa Mwigulu,inakuja?

Nimeuliza hili swala sijapata majibu Hadi Sasa hivi.

Hiyo ndio hoja kubwa sana ndugu yangu na hawawezi kukujibu sababu wanajua ukweli ulivyo Mwigulu asimame imara tu na kuamini anachokifanya kwani hao wabunge hawakwepo wakati hizo sheria zinapitishwa
 
Kama alikua mwizi why asifilisiwe ? Mmezoea ujanjaujanja sana fuateni taratibu hamtakamatwa
Hauijui historia kijana, ngoja nikuache ukiendelea kukaza fuvu.
Huyu Ramadhan Ntuzwe issue yake ilitokea around six years back kabla haujajiunga Jf
 
Yale madudu yapo chini ya wizara yake

Hayo Ndiyo yale mapandikizi ya Magu Mwigulu kabeba tu kama mzigo na anajaribu kuyaweka sawa kwa namna mfumo kandamizi uliokuepo awali kipindi cha Magu kuyaondoa hayo sio mda wa siku moja
 
Huwezi kuwa mfanyabiashara ukaja kumtetea Mwigulu..
Mfumo WA Kodi WA kukadiria unaotoa mwanya Kwa watu wa TRA sio fair..
Mtu anakdiriwa Kodi milioni 350 wakati Kenya Kodi milioni 45 Kwa kontena Hilo Hilo...yote hayo ni policy..na usimamizi na Mwigulu ndo mhusika wa kubadilisha vyote...na kashauriwa kagoma ....

Wewe labda kakutuma uje umsafishe

Kumbe yaweza kuwa kweli kwamba wafanyabiashara wanamakosa yao hawakutaka kuyasema na sababu waliomba kusikilizwa Mwigulu hakua na nafasi ya kuwapa mapungufu yao kila mtu alikua anavutia kwake mwigulu hana kosa hata kidogo
 
Hayo madudu yanamtaka Waziri ashughulikiwe? Hayo si ni mambo ya Polisi,Kamishna wa TRA na Viongozi wa Mkoa?
Mwigulu/Waziri ni mtu wa sera sio mtu wa oparesheni..

Dah wangepewa nafasi raia wenye akili kama wewe siku hiyo mkutano uliisha kwa hoja hiyo tu
 
Tatizo lenu mnahisi jambo linatakiwa kutekelezwa hapo hapo tunajua mlitegemea mapendekezo ya wafanyabiashara yangepatiwa ufumbuzi palepale kumbe Haya mambo mchakato
ila wanapodai kodi hakuna mchakato
 
Sasa ni Mwigulu kaleta Hilo? Hizo Sheria zinafungwa na Wataalamu wa uchumi na Kodi na zinapelekwa Baraza la Mawaziri kisha Bungeni,huko Bungeni Kuna wafanyabiashara Sasa kama ni mbaya Kwa nini wasizikatae?

Achana nao hawana hoja wamezoea tumbuatumbua za aliyekua hana akili yule and wanahisi ni kosa kubwa sana wananchi kutoa kero zao ! Walizoea kufungwa midomo Mbona kipindi cha Magufuli walifyata mikia uliwahi Kusikia mgomo wowote ule ? Wafanyabiashara waliporwa mitaji yao ulisikia nani kaandamana hata hao wanasiasa walio nyuma ya hili nani aliweza kuthubutu kutoa kero yake ? Mwigulu Nchemba ni kiongozi na ndio maana aliruhusu watu watoe maoni yao mwisho wa siku wafanyabiashara wakaenda kumsindikiza kwa furaha Kiu ya wafanyabiashara ilikua watoe ya moyoni mwao
 
Yeye kama waziri angeweza kufix mapema kabisa bila kufikia kwenye mgomo

Na Leo pm ameamua Tu kuficha aibu Yao ndio maana hakuwapa nafasi ya kuongea

Hayo mambo yalishatungwa na bunge ni sheria ipo sio ya ofisi yake kwamba akurupuke ndio maana waliyachukua na kwenda kuyapitia kama yana mashiko wayafanyie kazi lazima yarudi bungeni
 
Ila nimependa wamemnanga sana kwa maneno ya kejeli maana yeye huwa anajidai bingwa wa maneno ya kukararisha.

Kuna mwamba anasema,unajitia Dokta,Dokta wa wapi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anawajua watanzania akili zenu kama ilivyo yako hapa unaona furaha eti kumnanga mtu kwani uliona anachechemea anavyoondoka sasa kunanga na kero zao kipi kikashughulikiwe huoni Serikali inajua sasa kwamba ina deal na wengi wasiojielewa mara Mia wawakilishi kuliko vile kama mmesema yote na hamjabakisha hata moja yakitatuliwa msilalamike maana wote mlikuepo
 
Au hajasikia wafanyabiashara wanavyomnanga
Wanasema wakilalamika anamwambia sijadiliani na waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sema wafanyabiashara wamejua kumchamba jamaa bila kupepesa macho.

Kama kiu yenu ilikua kusikia matusi na vichambo basi Haja yenu imetimia mwisho wa siku nani mjinga
 
Back
Top Bottom