Hata CAG hukumsikia kuhusu matumizi ya kodi zenu?
Hakuna pahala CAG kamtaja Mwigulu Nchemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata CAG hukumsikia kuhusu matumizi ya kodi zenu?
Sasa Vunjabei una biashara gani ya maana, au wewe unadhan kujitangaza sana ndio kuwa mfanyabiashara halisi?
Chawa ndio kitu gani, kwanini usijibu kwa facts....
Wewe ni CHAWA, siyo mfanyabiashara
Sawa hongera mtanzaniaHakuna pahala CAG kamtaja Mwigulu Nchemba
Unamjua mfanya biashara kwa jina la Ramadhan Nhtuzwe...[emoji848]
Huyu jamaa alikua mfanya biashara hapo kariakoo, na kwakifupi alikamatiwa mizigo yake na TRA.
Jamaa amefilisika na juzi nilimuona wilayani Urambo mkoa wa Tabora, amefungua duka la kawaida na anauza bidhaa za nyumbani kwa rejareja kama duka la mangi.
Mwigulu, mchengerwa, na huyu Kijaji ndio mawaziri wanaongozwa kuchukiwa ndani ya Bunge mpaka nje ya Bunge
Kwanza Wana majibu ya shombo Sana
Pili hata ukifanya nao mkutano wa mambo serious hakuna kinachotokea
Binafsi nimekuwa napinga sana hili swala la kuleta chuki binafsi za Kisiasa Kwa mtu..
Hakuna anaweza kukupa majibu hapa isipokuwa ni upuuzi tuu..
Ukiangalia kinachoitwa mgomo hapo ni issue Zenye msukumo wa Kisiasa ndio maana eti Kodi akusanye mwingine,Rushwa aombe mwingine,Sheria za Kodi zitungwe na Bunge harafu aje kulaumiwa Mwigulu,inakuja?
Nimeuliza hili swala sijapata majibu Hadi Sasa hivi.
Hauijui historia kijana, ngoja nikuache ukiendelea kukaza fuvu.Kama alikua mwizi why asifilisiwe ? Mmezoea ujanjaujanja sana fuateni taratibu hamtakamatwa
Yale madudu yapo chini ya wizara yake
Hujajibu swali,kosa la Mwigulu ni lipi?
Kama hujajua basi wewe ni moja wa tatizo
Huwezi kuwa mfanyabiashara ukaja kumtetea Mwigulu..
Mfumo WA Kodi WA kukadiria unaotoa mwanya Kwa watu wa TRA sio fair..
Mtu anakdiriwa Kodi milioni 350 wakati Kenya Kodi milioni 45 Kwa kontena Hilo Hilo...yote hayo ni policy..na usimamizi na Mwigulu ndo mhusika wa kubadilisha vyote...na kashauriwa kagoma ....
Wewe labda kakutuma uje umsafishe
Influencers wanakula sana pesa za mawaziri awamu hii
Hayo madudu yanamtaka Waziri ashughulikiwe? Hayo si ni mambo ya Polisi,Kamishna wa TRA na Viongozi wa Mkoa?
Mwigulu/Waziri ni mtu wa sera sio mtu wa oparesheni..
ila wanapodai kodi hakuna mchakatoTatizo lenu mnahisi jambo linatakiwa kutekelezwa hapo hapo tunajua mlitegemea mapendekezo ya wafanyabiashara yangepatiwa ufumbuzi palepale kumbe Haya mambo mchakato
Sasa ni Mwigulu kaleta Hilo? Hizo Sheria zinafungwa na Wataalamu wa uchumi na Kodi na zinapelekwa Baraza la Mawaziri kisha Bungeni,huko Bungeni Kuna wafanyabiashara Sasa kama ni mbaya Kwa nini wasizikatae?
Yeye kama waziri angeweza kufix mapema kabisa bila kufikia kwenye mgomo
Na Leo pm ameamua Tu kuficha aibu Yao ndio maana hakuwapa nafasi ya kuongea
Wewe ni Chawa tu, huna lolote.
Ila nimependa wamemnanga sana kwa maneno ya kejeli maana yeye huwa anajidai bingwa wa maneno ya kukararisha.
Kuna mwamba anasema,unajitia Dokta,Dokta wa wapi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au hajasikia wafanyabiashara wanavyomnanga
Wanasema wakilalamika anamwambia sijadiliani na waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wafanyabiashara wamejua kumchamba jamaa bila kupepesa macho.