Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

Diwani bado ana jambo letu watanzania, atuambie hawa wapo wapi ?

Kumbe JPM hakuiba alidhibitiwa na jicho la mwewe basi futeni nyuzi zenu za uongo kwamba kuna mabilioni yamefichwa China na Sychelles na kutokana na hili kwa mjibu wa sheria mtaakuja kulipa fidia kubwa sana mbeleni
 
Kumlipa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…