Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

Diwani bado ana jambo letu watanzania, atuambie hawa wapo wapi ?

1677071675291.jpeg
1677071701466.jpeg
 
TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari.

Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine.

Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine, walifanikisha kulidhibiti kundi la Jiwe lisipandikize watu wake madhalimu na wenye roho mbaya na makatili waliotaka kupoka nafasi ya SSH.

Akina Bashiru waliwekwa stoo kwa muda, polepole alipigwa jicho moja Kali akaufyata. Ofisi zote za Jiwe zikawekwa chini ya Ulinzi, mamia ya mamilioni ya ya dola yakakusanywa katika mabegi na makabati ya ofisini za Jiwe na kurudishwa serikalini. Na mengine meengi, nadhani hata Ile listi ya wale watu waliotakiwa ikachanwa, Makonda akajificha uvunguni, Sabaya Yuko godown.

Ditto James alidhibitiwa asiibe mabilioni, Na yule bosi wa Tanroad aliyekuwa mweka hazina wa vicoba ya jiwe (Tanzania) baada ya jiwe kufa akakutwa na ngozi ya n'gombe ya thamani ya matrilioni, kule kwetu anayekutwa na ngozi ndiye mwizi, akaulizwa, trilioni kadhaa umetoa wapi, badala ajibu, akaamua kufa na yeye.

Hebu tumpongeze, hakuwa na matukio ya ajabu ajabu.
Kumbe JPM hakuiba alidhibitiwa na jicho la mwewe basi futeni nyuzi zenu za uongo kwamba kuna mabilioni yamefichwa China na Sychelles na kutokana na hili kwa mjibu wa sheria mtaakuja kulipa fidia kubwa sana mbeleni
 
Kumlipa nani?
 
Back
Top Bottom