Mwamedi anajifanya mjuaji ili apige hela lakini kakutana na wajanja zaidi
Asubiri tu siku atakayoanza kuambiwa tuachie timu yetu
Michuano ya caf ndio yanayowafanya mjizimishe data na kusahau kilichotokea msimu uliopita kwenye mashindano ya ndani,msimu huu kwa jinsi Yanga ilivyojipanga caf na mashindano ya ndani aibu yenu inawasubiriSimba SC imejiwekea malengo makubwa, wao wanajua kufikia robo fainali Klabu Bingwa Afrika kwao ni jambo la kawaida, labda itokee bahati mbaya tu watolewe mapema, na hata huko wanapohamia kufikia robo fainali bado ni jambo la kawaida.
Huo ni ujinga waliofundshwa na Haji Manara. Wanayanga vichwani mwao kina vinyesi badala ya ubongoWashabiki wa Yanga kwanini kila siku mnatoa kauli za kumkashifu MO ?
Mbina simba hawatoi kauli za kumkashifu GSM ...
Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo klabu bingwa anawapiga gape kwenye kila udhamini?Simba SC imejiwekea malengo makubwa, wao wanajua kufikia robo fainali Klabu Bingwa Afrika kwao ni jambo la kawaida, labda itokee bahati mbaya tu watolewe mapema...
Simba SC ni klabu kubwa zaidi ya Utopolo kimataifa, Simba SC ndio inalitangaza hili taifa kwa kutoa goli bora Afrika, na kuingia robo fainali CAF mara nyingi.Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo...
Wewe kila mtu alipeleka watu wake kufanya negotiations na kila mtu alifanya kwa mda wake husizani huu mchakato wa mwezi mmoja unaweza ukakuta mchakato umechukua zaidi ya miezi sita, ukiona hivyo watu wa Yanga wapo vizuri kwenye negotiations, hakomolewi mtu nyie mshakataa mpaka hela ya Azam ,Yanga kaona kwake ina faida now ana uhakika wa kuingiza ziadi ya bil 6 kwa mwaka kutoka kwa Azam na Sportpesa.Shida ya hawa ndugu zetu kila kitu wanaweka ushabiki na mambo ya kujilinganisha na Simba.
Na Mara nyingi Simba ndie anawatoa tongo tongo kwa mengi...
Mie nashangaa MO amewakosea nn, maana sisi mashabiki wa Lunyasi hatujawahi kumkashifu GSM. nashangaa wao mda wote MO. KhaaaaahWashabiki wa Yanga kwanini kila siku mnatoa kauli za kumkashifu MO ?
Mbina simba hawatoi kauli za kumkashifu GSM...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] undhani Orlando, Berkane, Al tripol, ni km Namungo na Dodoma jiji??Michuano ya caf ndio yanayowafanya mjizimishe data na kusahau kilichotokea msimu uliopita kwenye mashindano ya ndani,msimu huu kwa jinsi Yanga ilivyojipanga caf na mashindano ya ndani aibu yenu inawasubiri
Sasa mnaumia nn nyie mashabiki wa utopoloo?? Tumekubali kubebeshwa bidhaa za Muddy kwenye jezi zetu.Wewe kila mtu alipeleka watu wake kufanya negotiations na kila mtu alifanya kwa mda wake husizani huu mchakato wa mwezi mmoja unaweza ukakuta mchakato umechukua zaidi ya miezi sita, ukiona hivyo watu wa Yanga wapo vizuri kwenye negotiations, hakomolewi mtu nyie mshakataa mpaka hela ya Azam ,Yanga kaona kwake ina faida now ana uhakika wa kuingiza ziadi ya bil 6 kwa mwaka kutoka kwa Azam na Sportpesa.
Komaeni na Muddy wenu ana kazi ya kuwabebesha bidhaa zake kwenye jezi yenu.
Haya sasa kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo klabu bingwa anawapiga gape kwenye kila udhamini? Udhamini wa sportpesa kawapiga gape, udhamini wa Azam tv kawapiga gape, na bado kuna dili 2 za maana atawapiga gape kubwa tu, Unaposusa ukidhani unawakomoa watu wenzako watakula vinono zaidi, kwa maana mwenzako anazidi kujijenga zaidi kiuchumi ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja, kwa sasa uwezi kuona matokeo ya hizo pesa utakuja kuyaona badae, yanga kwa sasa ana uhakika wa kukunja b.8 kwa mwaka kupitia wadhamini wake na bajeti yao haizidi b.6 kwa mwaka, na hapo bado awajampata mwekezaji Ina maana wawekezaji watakaokuja watatakiwa kujipanga vizuri sana kwa maana value ya klabu inazidi kupanda ukichukua udhamini wa Azam tv b.38, udhamini wa sportpesa b.12, na wadhamini wengine wote unakimbilia kwenye b.50 na kitu kwa sasa, baada ya hapo ndo unarudi kwenye nembo ya klabu Ina thamani gani? Kwaiyo usije kushangaa itakapotangazwa thamani ya yanga itakuwa kubwa Sana hii mikataba inazidi kupandisha thamani ya klabu
Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.Sasa mnaumia nn nyie mashabiki wa utopoloo?? Tumekubali kubebeshwa bidhaa za Muddy kwenye jezi zetu.
Muwe buzzy na mambo yenu, mbna mnatesekaa sana???
Byuti byuti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaumia ndugu ndio maana kutwa kuisema Simba mngekua hamuumii mngekaa kimya maana tayari nyie mmeingiza mpunga wa maana Ila ajabu kila siku kumsema ambae hajapata pesa yenu..Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.
Kwani nyie hamuisemi Yanga? au mnajitoa ufahamu, huyo Genta kutwa yupo na Yanga.Mnaumia ndugu ndio maana kutwa kuisema Simba mngekua hamuumii mngekaa kimya maana tayari nyie mmeingiza mpunga wa maana Ila ajabu kila siku kumsema ambae hajapata pesa yenu..
Hakuna tajir anayehangaika na kipato Cha maskini ukiona tajir anahangaika na maskin jua ashajua fika amezidiwa mahala na hatak kusema Waz Zaid ya figisu na kelele
Simba itaja kukuua we dada.Tulia acha shobo..yani sijui akili zenu mnaweka wapi kwahyo hela hyo tayari makombe yameshaingia. Simba Kukataa kwake hyo hela ndo kumewapa yanga kupewa juu ila akili kama mazwazwa kutwa kutaka kushindana na Simba. Yani sijui hata kama mnafuraha maskini maana mlishinda kombe ila thread za masikitikoo na malalamiko kwa simba daily haya mmepqta hizo hela badala muangalie mtazitumiaje na hilo li club lenu ila mnataka kuringishia kama watoto. Subirini Simba hawajatangaza bado dau lao mbona kama chup zinawawasha?.
ngao ya jamii Simba wakipasuka mashabiki watamwambia MO tuachie timu yetu!!Mwamedi anajifanya mjuaji ili apige hela lakini kakutana na wajanja zaidi
Asubiri tu siku atakayoanza kuambiwa tuachie timu yetu
Hayaaa mkadili na madekio yenu, mmebebeshwa makabuli, maghorofa, traffic police, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.