MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

Sport pesa ni Yanga B .Bora tulivyoachana nao .Tarimba ni mtu wa hovyo sana .
 
Simba SC imejiwekea malengo makubwa, wao wanajua kufikia robo fainali Klabu Bingwa Afrika kwao ni jambo la kawaida, labda itokee bahati mbaya tu watolewe mapema, na hata huko wanapohamia kufikia robo fainali bado ni jambo la kawaida.

Hivyo mdhamini anapokuja Simba SC lazima awe na mzigo wa kutosha, kwa sababu atatangaziwa bidhaa zake Afrika nzima itamjua, hao waliopewa bilioni 12 halafu wanaishia round ya pili, wanahamishiwa shirikisho, nako wanaenda kupigwa wanatoka ni hasara tu kwa mdhamini.

Wale Sportpesa roho zinawauma sana kutoswa na Simba SC, basi tu hawana la kufanya masikini!.
 
Simba SC imejiwekea malengo makubwa, wao wanajua kufikia robo fainali Klabu Bingwa Afrika kwao ni jambo la kawaida, labda itokee bahati mbaya tu watolewe mapema, na hata huko wanapohamia kufikia robo fainali bado ni jambo la kawaida.
Michuano ya caf ndio yanayowafanya mjizimishe data na kusahau kilichotokea msimu uliopita kwenye mashindano ya ndani,msimu huu kwa jinsi Yanga ilivyojipanga caf na mashindano ya ndani aibu yenu inawasubiri
 
Mudi mbona kaweka b85 pale lunyasi sheikh au hukumsikia siku ile bunju arena?
 
Simba SC imejiwekea malengo makubwa, wao wanajua kufikia robo fainali Klabu Bingwa Afrika kwao ni jambo la kawaida, labda itokee bahati mbaya tu watolewe mapema...
Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo klabu bingwa anawapiga gape kwenye kila udhamini?

Udhamini wa sportpesa kawapiga gape, udhamini wa Azam tv kawapiga gape, na bado kuna dili 2 za maana atawapiga gape kubwa tu,

Unaposusa ukidhani unawakomoa watu wenzako watakula vinono zaidi, kwa maana mwenzako anazidi kujijenga zaidi kiuchumi ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja, kwa sasa uwezi kuona matokeo ya hizo pesa utakuja kuyaona badae,

yanga kwa sasa ana uhakika wa kukunja b.8 kwa mwaka kupitia wadhamini wake na bajeti yao haizidi b.6 kwa mwaka, na hapo bado awajampata mwekezaji Ina maana wawekezaji watakaokuja watatakiwa kujipanga vizuri sana kwa maana value ya klabu inazidi kupanda ukichukua udhamini wa Azam tv b.38,

udhamini wa sportpesa b.12, na wadhamini wengine wote unakimbilia kwenye b.50 na kitu kwa sasa, baada ya hapo ndo unarudi kwenye nembo ya klabu Ina thamani gani? Kwaiyo usije kushangaa itakapotangazwa thamani ya yanga itakuwa kubwa Sana hii mikataba inazidi kupandisha thamani ya klabu
 
Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo...
Simba SC ni klabu kubwa zaidi ya Utopolo kimataifa, Simba SC ndio inalitangaza hili taifa kwa kutoa goli bora Afrika, na kuingia robo fainali CAF mara nyingi.

Kama kuna tuzo ya mikataba bora nendeni CAF mkaichukue, lakini nachojua mpaka sasa, nyie round ya pili CAF ndio huwa mwisho wenu, hiyo mikataba haichezi mpira kama kocha wenu mweupe, ni mweupe tu.

Kama SOPU aliwapiga hat trick, mkienda cheza na muarabu mtaogeshwa nyingi sana, na huo mkataba hauwazuii kupigwa hat trick nyingine.. msichekelee kama nyani ameona ndizi!.
 
Shida ya hawa ndugu zetu kila kitu wanaweka ushabiki na mambo ya kujilinganisha na Simba.
Na Mara nyingi Simba ndie anawatoa tongo tongo kwa mengi...
Wewe kila mtu alipeleka watu wake kufanya negotiations na kila mtu alifanya kwa mda wake husizani huu mchakato wa mwezi mmoja unaweza ukakuta mchakato umechukua zaidi ya miezi sita, ukiona hivyo watu wa Yanga wapo vizuri kwenye negotiations, hakomolewi mtu nyie mshakataa mpaka hela ya Azam ,Yanga kaona kwake ina faida now ana uhakika wa kuingiza ziadi ya bil 6 kwa mwaka kutoka kwa Azam na Sportpesa.

Komaeni na Muddy wenu ana kazi ya kuwabebesha bidhaa zake kwenye jezi yenu.
 
Washabiki wa Yanga kwanini kila siku mnatoa kauli za kumkashifu MO ?

Mbina simba hawatoi kauli za kumkashifu GSM...
Mie nashangaa MO amewakosea nn, maana sisi mashabiki wa Lunyasi hatujawahi kumkashifu GSM. nashangaa wao mda wote MO. Khaaaaah
 
Michuano ya caf ndio yanayowafanya mjizimishe data na kusahau kilichotokea msimu uliopita kwenye mashindano ya ndani,msimu huu kwa jinsi Yanga ilivyojipanga caf na mashindano ya ndani aibu yenu inawasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] undhani Orlando, Berkane, Al tripol, ni km Namungo na Dodoma jiji??

Byuti byuti.
 
Wewe kila mtu alipeleka watu wake kufanya negotiations na kila mtu alifanya kwa mda wake husizani huu mchakato wa mwezi mmoja unaweza ukakuta mchakato umechukua zaidi ya miezi sita, ukiona hivyo watu wa Yanga wapo vizuri kwenye negotiations, hakomolewi mtu nyie mshakataa mpaka hela ya Azam ,Yanga kaona kwake ina faida now ana uhakika wa kuingiza ziadi ya bil 6 kwa mwaka kutoka kwa Azam na Sportpesa.

Komaeni na Muddy wenu ana kazi ya kuwabebesha bidhaa zake kwenye jezi yenu.
Sasa mnaumia nn nyie mashabiki wa utopoloo?? Tumekubali kubebeshwa bidhaa za Muddy kwenye jezi zetu.

Muwe buzzy na mambo yenu, mbna mnatesekaa sana???

Byuti byuti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba mdhamini anaekuja aweke mzigo mkubwa eti, uyo M-bet unajua kawapa bei gani? Sasa mbona uyo unaesema anaishia round za mwanzo klabu bingwa anawapiga gape kwenye kila udhamini? Udhamini wa sportpesa kawapiga gape, udhamini wa Azam tv kawapiga gape, na bado kuna dili 2 za maana atawapiga gape kubwa tu, Unaposusa ukidhani unawakomoa watu wenzako watakula vinono zaidi, kwa maana mwenzako anazidi kujijenga zaidi kiuchumi ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja, kwa sasa uwezi kuona matokeo ya hizo pesa utakuja kuyaona badae, yanga kwa sasa ana uhakika wa kukunja b.8 kwa mwaka kupitia wadhamini wake na bajeti yao haizidi b.6 kwa mwaka, na hapo bado awajampata mwekezaji Ina maana wawekezaji watakaokuja watatakiwa kujipanga vizuri sana kwa maana value ya klabu inazidi kupanda ukichukua udhamini wa Azam tv b.38, udhamini wa sportpesa b.12, na wadhamini wengine wote unakimbilia kwenye b.50 na kitu kwa sasa, baada ya hapo ndo unarudi kwenye nembo ya klabu Ina thamani gani? Kwaiyo usije kushangaa itakapotangazwa thamani ya yanga itakuwa kubwa Sana hii mikataba inazidi kupandisha thamani ya klabu
Haya sasa kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.

Byuti byuti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mnaumia nn nyie mashabiki wa utopoloo?? Tumekubali kubebeshwa bidhaa za Muddy kwenye jezi zetu.

Muwe buzzy na mambo yenu, mbna mnatesekaa sana???

Byuti byuti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.
 
Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.
Mnaumia ndugu ndio maana kutwa kuisema Simba mngekua hamuumii mngekaa kimya maana tayari nyie mmeingiza mpunga wa maana Ila ajabu kila siku kumsema ambae hajapata pesa yenu..
Hakuna tajir anayehangaika na kipato Cha maskini ukiona tajir anahangaika na maskin jua ashajua fika amezidiwa mahala na hatak kusema Waz Zaid ya figisu na kelele
 
Kwani nyie hamuisemi Yanga? au mnajitoa ufahamu, huyo Genta kutwa yupo na Yanga.
 
Tulia acha shobo..yani sijui akili zenu mnaweka wapi kwahyo hela hyo tayari makombe yameshaingia. Simba Kukataa kwake hyo hela ndo kumewapa yanga kupewa juu ila akili kama mazwazwa kutwa kutaka kushindana na Simba. Yani sijui hata kama mnafuraha maskini maana mlishinda kombe ila thread za masikitikoo na malalamiko kwa simba daily haya mmepqta hizo hela badala muangalie mtazitumiaje na hilo li club lenu ila mnataka kuringishia kama watoto. Subirini Simba hawajatangaza bado dau lao mbona kama chup zinawawasha?.
Simba itaja kukuua we dada.
 
Sasa sisi tuumie nini tuna 12+B per 3yr na 41B per Yr nina ngao,Azam Confederation na NBC.
Hayaaa mkadili na madekio yenu, mmebebeshwa makabuli, maghorofa, traffic police, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom