MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

Mo hakusema kama atawapa Simba Bil 20. Alichokifanya alichukua Bil 20 akaziweka kwenye fixed Account Kisha Riba ya hizo pesa ndio itatumika kuendesha Club.

Rudia vizuri midahalo ya wati ule utaona. Pia ipo video Mo anaelezea yote haya.

Kama unakumbuka mwanzoni alipata upinzani mkubwa kutoka kwa wanasimba wasomi kwamba iweje tumpe 50% kwa pesa itakayowekwa kwenye fixed account?
 
Mo simba sport clubs, sisi tunataka kutwa taji la club bingwa maneno achia utopolo na GSM wenye mikataba feki
 
Kwahiyo hataingiza pesa kwenye akaunti ya simba,pesa ya samata nayo imeingizwa kwenye account gani
 
Ya manji yatatukuta siku mo akizingua
Wakati wote ni bora kuficha ujahilia wako kwa usichokijua. Kulinganisha ufadhili wa Manji na Bodi ya Simba ni ujinga wa kiwango cha vikao vya kahawa.
Haya mambo yalifafanuliwa na wanasimba wakakubali mabadiliko.
Wewe ni Utopolo ungekuwa na wasiwasi na GSM kwa ni yale yale ya Manji.
 
Pumbavu
 
Bil 20 hazitaingizwa kwenye kwenye account ya Simba. Bil 20 inawekwa kwenye account maalum bank. Kisha riba yake ndio inaenda Simba. Mfano kama Bank inatoa riba ya 7% kwa hiyo kila mwaka Simba itapata Bil 1 na mil 400 kwa kuendeshea shughuli za kila siku.

Siku Mo akiamua kuondoka Simba atachukua Bil 20 zake kutoka kwenye ile account maalum.

Nadhani umenielewa.
Kwahiyo hataingiza pesa kwenye akaunti ya simba,pesa ya samata nayo imeingizwa kwenye account gani
 
Huyo mdosi wa kuangaliwa sana.
Chuki uliyonayo inaweza kukata reli.Mo sio kosa lake. Walaumu viongozi wako ambao wanavujisha siri kila siku.Mkataba wa Morrison kutokuwepo ni tips kutoka viongozi wenu ili GSM wafeli. Larry Bwalya alipewa kazi kiongozi wenu akachelewa makusudi. Ame hivyo hivyo. Mnajaza maji kwenye gunia.
 
Kwahiyo hataingiza pesa kwenye akaunti ya simba,pesa ya samata nayo imeingizwa kwenye account gani
Huyu fala alikuwa kwenye coma nini?Naamini hata jela kuna upatikanaji wa habari.
 
Unateseka na simba yetu [emoji1787] acha mo atupe raha tu baki na team yako [emoji113]
 
Reactions: Tui
Yanga walilalamika TFF kwamba Simba wanamrubuni Morisson. Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga akaliondoa shauri TFF na kuwaambia ilikuwa ni taarifa tu sio malalamiko. Mwenyekiti Msola kwenye Press Conference hivi karibuni alilalamika kwamba TFF hawataki kulisikiliza shauri lao.
Maskini hakujua kwamba shauri liliondolewa na Katibu wake.
Hivi hawa wapo kwenye ofisi na uongozi mmoja?
Ndio maana GSM wameamua kutowaamini hawa viongozi. Utafikiri mnada. Kila moja anasema anachotaka.GSM nao hawajui chochote kuhusu mpira.
 
Usilazimishe mambo.
 
Bado tarehe 18/10/2020 tunafuatilia tena lile goli moja mlitufungaje?

Zile nne ni kisasi Cha Ile sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…