Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Kwenye suala la tenda zikishawakilishwa anachukuliwa aliyetoa ya juu kwenye kuuza na kununua anachukuliwa aliyetoa ya chini, hakuna vya kuongeza dau labda mchakato wa awali ufutwe.

Kwenye tenda kigezo sio pesa peke yake hiyo ni kimojawapo bado aliteoa kidogo anaweza kushinda kwa kungalia hivyo vigezo vingine
 
Kwani mchakato wa kununua simba ukoje?!

Kama mtu yeyote anaruhusiwa kuomva kununua na dau lake likaeleweka basi Bakhresa atachukua timu, mana bilioni 25 kwa 20 tofauti ni kubwa
 
Manji kaweka 30b mezani dk 5 zilizopita
Manji hana sifa Mkuu.

Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.

Simba watumie principle hii:

Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.

Timu apewe MO.
 
Kwenye tenda kigezo sio pesa peke yake hiyo ni kimojawapo bado aliteoa kidogo anaweza kushinda kwa kungalia hivyo vigezo vingine
Ila kwenye hii waliangalia sana kigezo cha pesa, na kinachofurahisha hapa hawa wawili wote ni tycoons na wana 'asili' zinazofanana kwa kiasi kikubwa.
Unajua nini mkuu Mayonene, hizi timu mbili hata ukiingiza mfumo wa hisa 'uswahili' hautaisha ni yaleyale.
 
Manji hana sifa Mkuu.

Back to the point. Bakhressa (SSB) hana jipya, amekuwa na Azam kwa kipindi kirefu, hatujaona mabadiliko ya kweli ya soka hasa uwanjani tukiachana nahayo majim na maswimingi puu.

Simba watumie principle hii:

Ni heri ya Shetani unayemjua (MO) kuliko Malaika (SSB) usiyemjua.

Timu apewe MO.
Tuko pamoja sana mkuu.
 
Soka LA bongo lina usimba na yanga ndio maana bakhressa akaona aingie huko kwenye ushabiki Nazi ili awatibue wanazi wote
 
Tajiri kijana barani africa Bw, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara, mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania Billion 25 huku Bw, Mo akidhani yupo peke yake.

Kwenye huo mchakato wa kuinunua Simba, vigezo vya kuinunua timu ya simba uwe mwanachama hai wa Club, sasa Bw, Bakhresa vigezo vyote anavyo Simba inauza asilimia 50 ya hisa kwa wadau wake, wakati huo huo wanachama wanaona bora timu akabidhiwe Bw, Mo kwa kigezo alishatoa pesa zake, karibu billion moja.

Kwa ajili ya kuisaidia timu. Wakati huo Bakhresa alikuwa wapi wanachama Wakihoji, na wengine wakimtaka Bw, Mo aongeze mpunga kumzidi Bakhresa. Msimamizi wa mchakato huo Jaji mihaya anasema mchakato bado unaendelea.
Simba pumbavu kwelikweli
 
Siku hizi unajua kuteka watu kwenye nyuzi zako.
 
Ila kwenye hii waliangalia sana kigezo cha pesa, na kinachofurahisha hapa hawa wawili wote ni tycoons na wana 'asili' zinazofanana kwa kiasi kikubwa.
Unajua nini mkuu Mayonene, hizi timu mbili hata ukiingiza mfumo wa hisa 'uswahili' hautaisha ni yaleyale.
True kabisa mkuu
 
Kwani Dau la MO ni shs ngapi? kwani hawawezi wakachukua MO asilimia 40 na Barhesa 40 na wapiga kelele wakapewa asilimia 20 kwani mpira siku hizi ni pesa.
Kanuni walizojiwekea Simba haiwezekani kutoka kumilikiwa na watu 2
 
When the bulls are fighting, it is the Nyasi that suffers
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom