Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

Screenshot_20230211-111906.png

Alishavunjika miguu mara 3
 
View attachment 2513450
Alishavunjika miguu mara 3
Mara tatu akiwa anacheza au????Na alicheza mwaka gani mpaka mwaka gani??????Je aliweza kuchukua ubingwa wa NBA?????Na mwanae nasikia yupo NBA????Na je ana undugu na yule bodyguard wa Mh Salva Kiir rais wa Sudan kusini?????Samahani kwa maswali mengi ila ukinijibu itakua poa sana.Huyu jamaa nanishangaza sana kwa urefu wake wa ajabu @Msweden
 
Hili suala la kuwasakama wachezaji kucheza na kufanya vizuri uko nje Ajibu alishaliweka vizuri kabisa. Kama kwenda marekani au ulaya ni rahisi basi kupitia shughuli yako iyo iyo nenda wewe. Ulaya kuna wahasibu, madokta, wajasiriamali, madereva, wapishi n.k kama kwenda uko ni rahisi nenda kafanye shunghuli zako wewe sio lazima waende uko wanamichezo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila alijibu vile, na nilipenda haswaaa.
 
Urafiki wa ki jumalokole, mwanaume mzima unaitwa unaambiwa na mwanaume mwenzio kaa hapo kula bata mi nakupenda tu ntalipa unaona mserereko kumbe uterezi utahusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Mkuu wa wilaya ndo alisababisha yote haya jamaa akasahau hadi majukumu uwanjani
 
Hili suala la kuwasakama wachezaji kucheza na kufanya vizuri uko nje Ajibu alishaliweka vizuri kabisa. Kama kwenda marekani au ulaya ni rahisi basi kupitia shughuli yako iyo iyo nenda wewe. Ulaya kuna wahasibu, madokta, wajasiriamali, madereva, wapishi n.k kama kwenda uko ni rahisi nenda kafanye shunghuli zako wewe sio lazima waende uko wanamichezo tu
umewasahau wauza mkaa.... Ajibu aliwataja pia
 
Back
Top Bottom