Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mimi namzungumzia Bol.Nadhani ndio alikua mrefu kuliko wote kuwahi kutokea NBA au nimekosea mkuu @Msweden.Manute bol, yao ming, Shawn badley unawajua hao watu?? Dikembe akasome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namzungumzia Bol.Nadhani ndio alikua mrefu kuliko wote kuwahi kutokea NBA au nimekosea mkuu @Msweden.Manute bol, yao ming, Shawn badley unawajua hao watu?? Dikembe akasome
Sawa kabisaMimi namzungumzia Bol.Nadhani ndio alikua mrefu kuliko wote kuwahi kutokea NBA au nimekosea mkuu @Msweden.
Mara tatu akiwa anacheza au????Na alicheza mwaka gani mpaka mwaka gani??????Je aliweza kuchukua ubingwa wa NBA?????Na mwanae nasikia yupo NBA????Na je ana undugu na yule bodyguard wa Mh Salva Kiir rais wa Sudan kusini?????Samahani kwa maswali mengi ila ukinijibu itakua poa sana.Huyu jamaa nanishangaza sana kwa urefu wake wa ajabu @MswedenView attachment 2513450
Alishavunjika miguu mara 3
Kuna Shark O neal mzee, kuna mwingine yule Anatambulika na ngoma .Nadhani alikua mrefuuu kuliko wote tangu NBA ianzishwe
Naitafuta right away😅😅😅Kuna anayekumbuka hii movie
![]()
![]()
Ukiipata hiyoNaitafuta right away😅😅😅
Thanks for informationKuna Shark O neal mzee, kuna mwingine yule Anatambulika na ngoma .
Hao ndo giant NBA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasheem yuko china Sichuan[emoji459] blue [emoji229]
Anazisukumia tango pori papuchi za kishuanshuu!
Huyu nampendaga sanaaaJason hardy from France dogo anakuja vizuri sanaView attachment 2512587
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila alijibu vile, na nilipenda haswaaa.Hili suala la kuwasakama wachezaji kucheza na kufanya vizuri uko nje Ajibu alishaliweka vizuri kabisa. Kama kwenda marekani au ulaya ni rahisi basi kupitia shughuli yako iyo iyo nenda wewe. Ulaya kuna wahasibu, madokta, wajasiriamali, madereva, wapishi n.k kama kwenda uko ni rahisi nenda kafanye shunghuli zako wewe sio lazima waende uko wanamichezo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlitaka kushangaa huyu asitajwee khaaaah.Mwamba mwingine huyu NBA.
Sijui alikumbwa na nini Maskini View attachment 2513320View attachment 2513321View attachment 2513322View attachment 2513323
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urafiki wa ki jumalokole, mwanaume mzima unaitwa unaambiwa na mwanaume mwenzio kaa hapo kula bata mi nakupenda tu ntalipa unaona mserereko kumbe uterezi utahusika
Mkuu wa wilaya ndo alisababisha yote haya jamaa akasahau hadi majukumu uwanjaniHashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Asitajwe tena role model wako😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlitaka kushangaa huyu asitajwee khaaaah.
Subili nikutumie no yake...Huyu nampendaga sanaaa
umewasahau wauza mkaa.... Ajibu aliwataja piaHili suala la kuwasakama wachezaji kucheza na kufanya vizuri uko nje Ajibu alishaliweka vizuri kabisa. Kama kwenda marekani au ulaya ni rahisi basi kupitia shughuli yako iyo iyo nenda wewe. Ulaya kuna wahasibu, madokta, wajasiriamali, madereva, wapishi n.k kama kwenda uko ni rahisi nenda kafanye shunghuli zako wewe sio lazima waende uko wanamichezo tu
Hey coco kipindi T.I.D anakula mitama ya Hasheem ulikuwa darasa la ngapi ?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]