Kuna mapambano leo kwaniVip Leo mnaona tafuti au sawa nimeangalia moja la muindi nimelizika mo naona kajiandaa mabondia wako vizuri ngumi zinapigwa
Amezingua sanaMtangazaji mpumbavu sana
Hili jamaa linatangaza vizuri ila sijui kwanini huwa ni lizembe sanaMtangazaji mpumbavu sana
Limezidi masiharaHili jamaa linatangaza vizuri ila sijui kwanini huwa ni lizembe sana
Mnyakyusa yupo vizuri sanaMwakiyembe pambano tamu sana
Hili pambano ni la moto sana aisee Mwakyembe anashambulia bila kupoaMwakiyembe pambano tamu sana
Nani kashindaPambano limeisha