Mo Boxing: Ibrahim Class ashinda kwa KO dhidi ya Bondia wa Mexico

Mo Boxing: Ibrahim Class ashinda kwa KO dhidi ya Bondia wa Mexico

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Vip Leo mnaona tafuti au sawa nimeangalia moja la muindi nimelizika mo naona kajiandaa mabondia wako vizuri ngumi zinapigwa

=================

Fd7jRxEWAAEzIXy.jpg

Bondia Mtanzania Ibrahim Class amefanikiwa kushinda dhidi ya Alan Pina kutoka Mexico katika pambano lililofanyika Mlimani City, Dar es Salaam.

Baada ya kuonesha upinzani mkali kuanzia raundi ya kwanza, Pina alipigwa ngumi mbili kali raundi ya 9 zilizomuandusha chini na kulazimika kupewa huduma ya kwanza hapohapo ulingoni baada ya kuonekana kutojitambua kwa muda.
Fd7jRw8WABIx4-U.jpg
 
Hilo pambano limeoneshwa kwenye Azam?
 
Back
Top Bottom