Mo Boxing: Ibrahim Class ashinda kwa KO dhidi ya Bondia wa Mexico

Nimefurahishwa sana na mwakyembe ni bondia bora sana.huenda hawa wakina kiduku ni promo tu ila kuna mabondia hapa tanzania wanajua sana ila hawana promo.
Cha muhimu bondia ajitengeneze mwenyewe
 
Mandonga na Mwakinyo waache utoto ngumi zinapaa sasa wasiaribu hamasa za watu kupenda masumbwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…