Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
unamuingizaje mwankinyo kwa mandonga izo zarau sasa.Mandonga na Mwakinyo waache utoto ngumi zinapaa sasa wasiaribu hamasa za watu kupenda masumbwi.
Jamaa wanapigana kama wanabifu [emoji28][emoji28]Hizo ndio ndonga sasa..
na makofiHawa jamaa Kila wakikumbatiana, huyu Mnamibia anampiga mwenzie makonzi [emoji28][emoji28]
Kocha Hana,anapanua miguu ka anazaa!Nimefurahishwa sana na mwakyembe ni bondia bora sana.huenda hawa wakina kiduku ni promo tu ila kuna mabondia hapa tanzania wanajua sana ila hawana promo.
Imekuaje Tena!!?