Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
atakuja nae kukutaniza ndo ngumi zilivyo[emoji16][emoji16][emoji16]Daaah,Ibra angekausha tu asingemwongeze ngumi ya pili!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mshindi kapewa bajaj[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Boxer kwa sasa ina wawekezaji ndo umeandika kitu gani? Si uandike tu sentensi moja ya kiswahili..Daah Ibraah mapambano yake hayajawahi kuboa. Ila yote kwa yote MO amejipanga ameonyesha tofauti kubwa sana ,hili pambano limeandaliwa vizuri.
Ndugu zangu maboxer sasa hivi waache uhuni na usela nnya, boxer sasa hivi ina wawekezaji wa maana mpaka sasa kuna Azam,kuna MO.
Siandiki so ............ ?Boxer kwa sasa ina wawekezaji ndo umeandika kitu gani? Si uandike tu sentensi moja ya kiswahili..
Bado gsm nae anakuja na boxing yakee patakuwa Ni uwanja wa ngumi inchi hi vijana changamkeni fursa GSM ANAJIANDAA KUAANDA NAE YA KWAKEDaah Ibraah mapambano yake hayajawahi kuboa. Ila yote kwa yote MO amejipanga ameonyesha tofauti kubwa sana ,hili pambano limeandaliwa vizuri.
Ndugu zangu maboxer sasa hivi waache uhuni na usela nnya, boxer sasa hivi ina wawekezaji wa maana mpaka sasa kuna Azam,kuna MO.
acha amuue kabisaDaaah,Ibra angekausha tu asingemwongeza ngumi ya pili!
Nakazia[emoji4]Ngumi ndo ajira mpya mo kitia mkwanja panya rodi hamieni huku
Hua wanakufaga uwanjani km utani vile..Huu Mchezo ni hatari
Sikia wewePamoja na kwamba ameshida lakinì watanzania tumeonyesha inhuman behaviour. Hata kama ni mchezo ,mwenzako anapopata bahati mbaya ya kuumia mchezoni huwezi kushangilia ni jambo la kuanngalia usalama wake. Sasa naona bondia na wapambe wake wamevamia jukwaa wanashangilia bila kujua hali ya mpinzani anayepatiwa matibabu
Nafurahia sana utangazaji wakeHivi huyu Nyembela mnamuelewa kweli utangazaji wake
Mbona yupo biased sana