Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Huyu si mtangazaji wa ngumi bali ni mshabiki wa ngumi, hawezi na hata wachambuzi wao hakuna kitu ujuaji mwingi lakini kwa ndani hapa, mchambuzi wa ngumi namkubali ni mmoja tu na sikuhizi simsikii kabisa, yule kijana ' Jimmy Kabwe ' yule huwa hana upande yaani akichambua ngumi unasema huyu anaijua kazi yake na si hawa wachambuzi mandazi.Hivi huyu Nyembela mnamuelewa kweli utangazaji wake
Mbona yupo biased sana
Hawa ni wahuni wa ngumi na si wachezaji na wapenzi wa kucheza mchezo wa ngumiIbrahim Classic alivyompiga ngumi nzito mwenzake aliyekuwa amepiga magoti huku sura ipo wazi, mikono ipo chini, alikuwa anadhamiria kufanya nini?
Kwakweli, nimewaambia wanangu wasije kamwe wakacheza huu mchezoPamoja na kwamba ameshida lakinì watanzania tumeonyesha inhuman behaviour. Hata kama ni mchezo ,mwenzako anapopata bahati mbaya ya kuumia mchezoni huwezi kushangilia ni jambo la kuanngalia usalama wake. Sasa naona bondia na wapambe wake wamevamia jukwaa wanashangilia bila kujua hali ya mpinzani anayepatiwa matibabu
Nadhani alikuwa anadhamilia amuue labda,huu mchezo haufai kabisa kabisaIbrahim Classic alivyompiga ngumi nzito mwenzake aliyekuwa amepiga magoti huku sura ipo wazi, mikono ipo chini, alikuwa anadhamiria kufanya nini?
No upumbafu Sana kafanya pendo njau amekozea Sana ktk pambano Hilo mtu kaweka mikono Chini na kapiga magoti ww unamrukia na kumpiga upper cut mpuuz Sana kijana yule kaniudhi mno mbna Ni was alikuwa kashinda ,Sasa nasikia kijana watu kakata kauli sijui itakuwaje tutafungiwa na shirikisho la ngumi na hili wageni hawatakuja Tena kupambana hukuIbrahim Classic alivyompiga ngumi nzito mwenzake aliyekuwa amepiga magoti huku sura ipo wazi, mikono ipo chini, alikuwa anadhamiria kufanya nini?
Yaani kama hajui anapoteza kabisa radha ya mapambano. Afu Azam wanamwona bonge la mtangazaji wa ngumiHivi huyu Nyembela mnamuelewa kweli utangazaji wake
Mbona yupo biased sana
angeshinda mmexico angepewa bajaj kweli?mshindi kapewa bajaj[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
hiyo ni bonus, mkwanja wake upo kwenye mkataba. Acheni upuuziangeshinda mmexico angepewa bajaj kweli?
Azam kwa watangazaji hawajajipanga kbs. Ngoda mara ngumi mara mpira wa miguu. Huyo Nyembela kwanza sio mtu wa habari sema Regina Mengi aliimuokoa baada ya mpira wa kikapu kumtupa mkono ndio akamchomeka EastAfrika Tv. Utafurahi na roho yako waanze kuhoji kwa kidhungu ndio utajua kwanini kazi ya Uandishi wa habari wamejaa viazi. Wanawaharibia akina Paskali Mayala.Yaani kama hajui anapoteza kabisa radha ya mapambano. Afu Azam wanamwona bonge la mtangazaji wa ngumi
hao wengine walioshindahiyo ni bonus, mkwanja wake upo kwenye mkataba. Acheni upuuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shangaa wanatwangana kwa hasira sana ujuee
Hakutenda haki kwakweli,jamaa tayari alikuwa amepoteza fahamu na refa akamwambia Stop,ila yeye akaendelea kushusha makonde!Ibrahim Classic alivyompiga ngumi nzito mwenzake aliyekuwa amepiga magoti huku sura ipo wazi, mikono ipo chini, alikuwa anadhamiria kufanya nini?
Mwamedi kawakimbia MakoloNgumi ndo ajira mpya mo kitia mkwanja panya rodi hamieni huku
Kama unataka kulia,nenda jikoni kwa mama yako.Hawa jamaa Kila wakikumbatiana, huyu Mnamibia anampiga mwenzie makonzi [emoji28][emoji28]
Mwamba GSM.Bado gsm nae anakuja na boxing yakee patakuwa Ni uwanja wa ngumi inchi hi vijana changamkeni fursa GSM ANAJIANDAA KUAANDA NAE YA KWAKE
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app