Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

Kwahivo leo dakika ya 43 mtampigia Nabi makofi ya kumshukuru kwa kipindi chote mlichokuwa naye sio... Nawashaurimumpe maslahi yake yote kabla hajaondoka hapo Utopoloni
 
Tumia akili yako ndio urudi tujadili
Mimi nipo kwenye masilahi ya club, sio vituko na propaganda zako hapa JF, kwa wiki unapandisha nyuzi 60... mie nimekuja na challenge kwa vijana, wasomi, wanachama na mashabiki wa simba

Ile mikataba ya chief Magungo wa msovero haikubaliki kipindi hiki.
 
Mwambie jcm tunakumbuka ishu ya gheto shopping center,,,,,,,,alpe kwanza Kodi Kwa miaka yote Ile ....zwazwazwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…