Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?

Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
 
Hahahaaa!! Umasikini mbaya mnooo.
Pesa
Pesa
Pesa
 
Kelele nyingi. Mnajua cash flow ya Simba na balance sheet yake? Wage bill plus allowance na bonus ni kiasi gani? Kununua players na wage bill ya coach na trainers ni hela kiasi gani? 51% za remaining shares zilishalipwa?. Ni wakati muafaka kuchia ngazi na wengine wafanye kazi. Kazi ya kwanza ni dirisha ndogo. Hela ipo???
 
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?

Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Mwamedi janja janja sana.
 
hayo yote zinatosha pesa za wadhamini na matangazo ya biashara na chenji inabaki
 
Makolo bana. Tulipokua tunawauliza bilioni 20 ziko wapi, mlikua wakali kama pilipili kichaa. Mkawa mnapiga tu "praise and worship" kwa Mwamedi.

Nyie si mlisema hamna shida na hela za team? eti kama timu inapata matokeo basi mambo mengine hayawahusu?

Sasa kelele zinatoka wapi?
 
Back
Top Bottom