Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilimshinda African Lyon, ikamshinda Singida, ilikuwa ni suala la muda tu kutalikiana na makoloMakolo bana. Tulipokua tunawauliza bilioni 20 ziko wapi, mlikua wakali kama pilipili kichaa. Mkawa mnapiga tu "praise and worship" kwa Mwamedi.
Nyie si mlisema hamna shida na hela za team? eti kama timu inapata matokeo basi mambo mengine hayawahusu?
Sasa kelele zinatoka wapi?
simba next level au siyooooooAti anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!