Ni Ujinga Kuamini Kuwa Mo Hajaweka Billion 20.
Kuendesha Club Ya Simba Iliyo Fika Robo Fainali Mara 2 ya CAF unahitaji zaidi ya Bilioni 20.
Ukiitegemea Bilioni 20 hata miaka 3 haitoboi inakuwa Imeisha. Kila Mafanikio Yanapo Kuja Matumizi Yanaongeza Mara dufuu, Wachezaji wata demand kikubwaa, Mchezaji wa Bei ndogo utauziwa Bei kuwa Ili mradi kwasababu umekuwa Bora.
So hata Yanga wanao ona Bilion 20 ni kubwa Itafika Muda wataona ni Upuuzi. Wanasimba inatakiwa tumuombe Mo aweke 40 Billioni na Sio Kuuliza Billioni 20 ziko wapi.
Ndege za kwenda rudi kukodi na nini mnafikiri mchezo?