ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
umeandika nini hiki? unaelewa maana ya hisa?Kelele nyingi. Mnajua cash flow ya Simba na balance sheet yake? Wage bill plus allowance na bonus ni kiasi gani? Kununua players na wage bill ya coach na trainers ni hela kiasi gani? 51% za remaining shares zilishalipwa?. Ni wakati muafaka kuchia ngazi na wengine wafanye kazi. Kazi ya kwanza ni dirisha ndogo. Hela ipo???
Akuna ata siku moja mateja wakawa na akili sawasawa, ndio maana Mhindi wa bombay aliwashika pabaya kwenye b.20 na mkaingia mkenge, Sasa anataka kuuza hisa hewa ambazo ajalipia ata moja na atawaburuza ipasavyo maana mlimpa kwa uaminifu kimaandishi ivyo atauza na nyie mtatoka mikono mitupu wajinga ndio waliwao
20bn zipo wapi? Hayo mengine hayatuhusuNi Ujinga Kuamini Kuwa Mo Hajaweka Billion 20.
Kuendesha Club Ya Simba Iliyo Fika Robo Fainali Mara 2 ya CAF unahitaji zaidi ya Bilioni 20.
Ukiitegemea Bilioni 20 hata miaka 3 haitoboi inakuwa Imeisha. Kila Mafanikio Yanapo Kuja Matumizi Yanaongeza Mara dufuu, Wachezaji wata demand kikubwaa, Mchezaji wa Bei ndogo utauziwa Bei kuwa Ili mradi kwasababu umekuwa Bora.
So hata Yanga wanao ona Bilion 20 ni kubwa Itafika Muda wataona ni Upuuzi. Wanasimba inatakiwa tumuombe Mo aweke 40 Billioni na Sio Kuuliza Billioni 20 ziko wapi.
Ndege za kwenda rudi kukodi na nini mnafikiri mchezo?
Je Simba ilitengeneza kiasi gani kupita kuingia robo Mara 3 na matangazo yake alilipia kiasi gan.?Ni Ujinga Kuamini Kuwa Mo Hajaweka Billion 20.
Kuendesha Club Ya Simba Iliyo Fika Robo Fainali Mara 3 ya CAF unahitaji zaidi ya Bilioni 20.
Ukiitegemea Bilioni 20 hata miaka 3 haitoboi inakuwa Imeisha. Kila Mafanikio Yanapo Kuja Matumizi Yanaongeza Mara dufuu, Wachezaji wata demand kikubwaa, Mchezaji wa Bei ndogo utauziwa Bei kuwa Ili mradi kwasababu umekuwa Bora.
So hata Yanga wanao ona Bilion 20 ni kubwa Itafika Muda wataona ni Upuuzi. Wanasimba inatakiwa tumuombe Mo aweke 40 Billioni na Sio Kuuliza Billioni 20 ziko wapi.
Ndege za kwenda rudi kukodi na nini mnafikiri mchezo?
Manara aliwaambia mkamuita zeruzeruAti anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Anachotakiwa ni kuweka 20b kwenye akaunti ya Simba,Kama akiweka aoneshe risiti,mambo ya usajili,mishahara sijui vitu gani,hayo siyo makubalianoNi Ujinga Kuamini Kuwa Mo Hajaweka Billion 20.
Kuendesha Club Ya Simba Iliyo Fika Robo Fainali Mara 2 ya CAF unahitaji zaidi ya Bilioni 20.
Ukiitegemea Bilioni 20 hata miaka 3 haitoboi inakuwa Imeisha. Kila Mafanikio Yanapo Kuja Matumizi Yanaongeza Mara dufuu, Wachezaji wata demand kikubwaa, Mchezaji wa Bei ndogo utauziwa Bei kuwa Ili mradi kwasababu umekuwa Bora.
So hata Yanga wanao ona Bilion 20 ni kubwa Itafika Muda wataona ni Upuuzi. Wanasimba inatakiwa tumuombe Mo aweke 40 Billioni na Sio Kuuliza Billioni 20 ziko wapi.
Ndege za kwenda rudi kukodi na nini mnafikiri mchezo?
Acheni ushamba, kama hamjui biashara ya hisa mkae kimya. Sio kila mtu anawaza biashara ya chupa za kuokotaAti anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Wewe mtoto wa maskini unatakiwa kuishia kugombania jezi tu za Yanga, mambo ya hisa waachie wenye hela zao. Eti akuonyeshe akaunti, wewe nani? Hela yako tu ndogo unaweka kwenye Tigo Pesa, namba za akaunti unazielewa wapi?Anachotakiwa ni kuweka 20b kwenye akaunti ya Simba,Kama akiweka aoneshe risiti,mambo ya usajili,mishahara sijui vitu gani,hayo siyo makubaliano
akili za makalioAti anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Acha kuharisha,hizo timu za nchi,zimebeba mpira wa nchi,kuzifanyia utapeli ni kuitapeli nchi,ni aidha atoe 20b au aachie timuWewe mtoto wa maskini unatakiwa kuishia kugombania jezi tu za Yanga, mambo ya hisa waachie wenye hela zao. Eti akuonyeshe akaunti, wewe nani? Hela yako tu ndogo unaweka kwenye Tigo Pesa, namba za akaunti unazielewa wapi?
Aweke 40B kwa makubaliano gani?Ni Ujinga Kuamini Kuwa Mo Hajaweka Billion 20.
Kuendesha Club Ya Simba Iliyo Fika Robo Fainali Mara 2 ya CAF unahitaji zaidi ya Bilioni 20.
Ukiitegemea Bilioni 20 hata miaka 3 haitoboi inakuwa Imeisha. Kila Mafanikio Yanapo Kuja Matumizi Yanaongeza Mara dufuu, Wachezaji wata demand kikubwaa, Mchezaji wa Bei ndogo utauziwa Bei kuwa Ili mradi kwasababu umekuwa Bora.
So hata Yanga wanao ona Bilion 20 ni kubwa Itafika Muda wataona ni Upuuzi. Wanasimba inatakiwa tumuombe Mo aweke 40 Billioni na Sio Kuuliza Billioni 20 ziko wapi.
Ndege za kwenda rudi kukodi na nini mnafikiri mchezo?
Wakati MO anawekeza walikua wana keneka, sasa mambo yame sanuka wanalia 😀😀Wakati mnatahadharishwa hizi mambo mlikuwa wakali haswa MO asisemwe wala asiguswe.
Sijui vilio vinatoka wapi sasa hivi
[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe mtoto wa maskini unatakiwa kuishia kugombania jezi tu za Yanga, mambo ya hisa waachie wenye hela zao. Eti akuonyeshe akaunti, wewe nani? Hela yako tu ndogo unaweka kwenye Tigo Pesa, namba za akaunti unazielewa wapi?
kila mtu achukue cha kwake.Safi, MO uza hisa zako, waachie timu yao