Acha ushamba... kwani kakufundisha nani hesabu Mkuu?Hapo tuseme simba INA wachezaji 33 na lila mmoja analipwa 10milion/month ndo itakuja 4billion
Apache kutuona mandeI
Kuna bonus piaWajameni; mimi naweza kumuamini maana 4b sio lazima iwe ni net pay. Kwake yeye actual payroll cost ni sum ya yafuatayo:
1. Gross Pay
2. NSSF (au any pension fund contribution ambayo ni 10% ya gross pay na ni takwa la kisheria)
3. SDL (4.5% ya gross pay Skills Development Levy ambayo nayo ni takwa la kisheria)
4. Any other related staff costs.
Inaweza kuwa kweli ikawa overstated lakini haiwezi kuwa very much off the mark).
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
Kweli kabisa. "Hutwo ni tuhela twa mboga tu" ( in Tibaijuka's voice)
Anajua anawamiliki ma mbumbumbu.MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
Kivipi
Amepanga kikosi kibovu kwa makusudi.Kivipi
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
Tatizo ana deal na non business people
Ngoja nikwambie.
Yanga walimlilia GSM eti hawana pesa ya kusajilia.
Akawaambia wanahitaji wachezaji wangapi na kina nani?
Wakamtajia wachezaji na gharama ya hao wachezaji haizidi mil 400.
Akawaambia nitawafanikishia hilo kwa sharti koja, jezi zenu nitawatengenezea na nitaziuza mwenyewe.
Yanga wakasema kwa hilo hatuna shida
GSM akiuza jezi za yanga kwa mwaka ni zaidi ya Bil 15 faida.
Bado jezi hizo zimebeba matangazo
Nadhani sasa unaelewa , kwa nini hawa matajiri wanazitaka sana hizo timu za kariakoo.
MO hatansimba ivurunde vipi hatoki pale, ataleta hizi kelele za kujigamba kapata hasara kakini hakuna hasara yoyote basi tuu anatakaa kucheza na akili za wakulima wa simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo alikuwa anajuwa yote hayo hakukuwa na haja ya kusema tena na tena kwenye mkutano walishasema matumizi. kwa mfano wako wa nyumbani kwa hiyo utarekebisha tu au ndio utakimbia mke na nyumba kwa kuwa tu matumizi makubwa?Mkuu umefanya haraka kumlaumu Mo,kutaja hicho kiwango ni sawa ni haki yake yeye ndio analipa,hata wewe nyumbani kwako matumizi yakiwa sio sahihi utajikuta umesema nimeacha laki mmetumia siku 3 tu.Nadhani umepata picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatokea Singida?
Simba waachane na wachezaji wa gharama waanze upya. Aishi Manura si mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app