technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Dewj Ni Mswahili tu ,Ni Mara chache kumpata mtu making kwenye Chama Cha Kijani
vizuriMo Amejiuzulu kwenye board of director simba
Angewapa bodaboda
Heheh kama ni kweli basi Mo ni mbabaishaji naye...
Yaani ukose kombe la mapinduzi ndio utoke povu hadi kukimbia uongozi...
Mo anafeli sanaWao wavurugane tu. Tatizo anaamini umbea wa kina Haji. Uchebe alimwambia lakini.