technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.
Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.
Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.
Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.