Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Kwa jinsi watakavyochimbana kwa hii tafulani Yanga anaenda kuchukua ubingwa this time.

Mambo ya kumtegemea mtu mmoja alete pesa kwenye timu wakati timu ina watu milion 20+ ujinga huu bongo sijui utaisha lini.

Huu ujumbe maana yake wakina kagere na wachezaji kibao wa kigeni wanaolipwa pesa ndefu safari hiyo.

Kweli kutesa kwa zamu ndio mpira wa bongo.
 
Heheh kama ni kweli basi Mo ni mbabaishaji naye...

Yaani ukose kombe la mapinduzi ndio utoke povu hadi kukimbia uongozi...

Halafu unaambiwa ni msomi tena alisoma kwenye shule/ vyuo bora then

Tatizo la MO na Simba wote wanaamini wanatakiwa kushinda mechi zote sasa ikitokea kinyume maamuzi kama haya ni kitu cha kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom