Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Huyu alistahili kabisa kujiuzulu tena mapema. Yeye kama mwenyekiti wa bodi ameacha timu inaharibiwa na wahuni kwa usajili wa hovyohovyo na wakamalizia na kumtimua kocha.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Pesa ataendelea kutoa kama investor, alichojiuzulu ni uenyekiti wa bodi.
 
Sijaelewa! Inamaana kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ni kweli ule uwanja wa Bunju ni wake?
 

Kaka wewe ni mtu wa mpira, mpira haupo hivi kaka. Najua kaweka pesa ya kutosha lakini hii league hachezi peke yake / huko CL hachezi peke yake pia hata wenzake wameweka malengo vile vile kwahyo amekurupuka kwasabbu anataka pay back period within a short time that's contrary to his investment...... Kiwango alichowekeza hakiwezi rudi ndani ya miaka miwili.

Na haya matamko yataathiri zaidi uwekezaji wake kitu ambacho kitamfanya achomoe pesa yake aliyowekeza Simba SC.
 
But you are right ! 4b tzs kwa Simba players salaries per annum! 🤔, mwambafication !

Wajameni; mimi naweza kumuamini maana 4b sio lazima iwe ni net pay. Kwake yeye actual payroll cost ni sum ya yafuatayo:
1. Gross Pay
2. NSSF (au any pension fund contribution ambayo ni 10% ya gross pay na ni takwa la kisheria)
3. SDL (4.5% ya gross pay Skills Development Levy ambayo nayo ni takwa la kisheria)
4. Any other related staff costs.

Inaweza kuwa kweli ikawa overstated lakini haiwezi kuwa very much off the mark).
 
Endelea kujifariji mbumbumbu mkubwa wewe

Hivyo ndo anasepa sema kaanzia muguu ya kushoto na wa kulia unakuja

Sawa mbumbumbu shibumbu mkuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ungeeandika maoni yako pasipo matusi ingependeza sana.
Mimi unayenitukana naweza kuwa umri mkubwa kuliko baba yako, hivyo jifunze kuw na nidhamu.
 
Mkuu kumbe Mo amekuibia pesa zako?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasepa jumla ,wenye akili ya kiutu uzima wanaelewa kamaanisha nini

Hawez kutoa hela huku anapata hasara
Unajua mashabiki wengi wa simba hawana kabisa ufahamu na uewezo wa kupambanua mambo

Ndo maana manara washaga mfanya kama yesu wao

Na walikuwa wameanza tabia ya kuabudu watu yaan huyu moo wanamuonaga kama Mungu wao

Kesho watapanga msululu kwenda kumpigia magoti

Na simba hawana kabisa uwezo wa kujiendesha kigheto gheto kama Yanga

Ngoja jamaa asepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…