Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
Sasa hiyo faida akianza kuipata baada ya miaka10 huoni atakuwa kapata hasara ya bilion 100 sasa? Kwa uwekezaji aliofanya so far hatukustahili kufungwa na timu kaliba ya mtibwa tena tukicheza mpira mbovu usioleweka, hata kupata goli moja tu ni ishu halafu una wachezaji km kahata,shiboub,chama,kagere, ukiiangalia simba there's no progress ni km tumestuck au tumenasa kwenye tope
 
Kasema UNAKARIBIA soma uelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km unajua hapa tz bila muwekezaji simba na yanga haziwezi kujiendesha mbona unaponda uwekezaji wa mo kwa simba? Haujishtukii tu kuwa wewe ni mpuuzi?
 
Mpaka mtu anapata faida inamaanisha hakuna hasara........ Kwenye faida kinachorudi ni ulichowekeza + pesa nyengine haijalishi iwe ni 20 mill, 20 bill au elf 10.

Labda Mo alipanga arudishe alichowekeza ndani ya miaka 3 kitu ambacho ni kigumu kwa ukanda wa afrika Mashariki ukizingatia wingi wa pesa aliyowekeza
 
Wewe tumia akili

Timu inamilikiwa na familia, Kwa hiyo Jamaa mke akigoma kutoa pesa simba ndio basi

Zile pesa ni za familia sio za simba

Mjifunze kwa wajinga wenu yanga, Manji chali na Timu chali
TASAF FC bana

dodge
 
Mkuu niko na msimamo ulio tukuka kabisa kuwa huyu jamaa asepe zake

Atuachie team yetu

Nilianza kuwa na wasi wasi naye pale aliondika ule uwanja wake jina lake badala ya kuandika jina la team

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hatutaki mpambe, kama mashabiki tumetimia hatuhitaji mamluki

Haujawahi kua shabiki wa simba wala mshangiliaji

Usituletee mkosi kwenye timu yetu maana zahera kawaachia nuksi unataka umuambukize nani?

Unaicheka buggati ya tajiri kwasababu imepata pancha wakati wewe hata uhakika wa kula milo mitatu kwa siku hauna?

Wakutucheka angekua tp mazembe au alahaly sio nyinyi vyura, nyie hata uwezo wa kuona makosa yetu hamna kwasababu kila tunapopatia nyie mnaona kama tumekosea na tukikosea mnaona tumepatia.
 
...Hawa jamaa nao wanapenda sana kutingisha kibiriti na kutaka kunyenyekewa.
Ifike mahali tuwachoke sasa!
Utashangaa hapo Simba wakiamua kunyamaza na kuendelea na mambo yao, yeye mwenyewe atajirudisha!
Watanzania hebu tuamkeni sasa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona tangu mkusanye rambi rambi za akilimali mmekua jeuri sana

Msimu huu mtapanga tofali nje tena kuchungulia show ya ndani kama ilivyokua mwaka jana maana round hii hakuna fungulia mbwa
 
Kesho nenda kampigie magoti muhindi

Wakati sisi wenzio tunaenda kumpigia magoti MWENYEZI MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho nenda kampigie magoti muhindi

Wakati sisi wenzio tunaenda kumpigia magoti MWENYEZI MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama siamini mungu lakini najua angekuwepo, mungu angekuwa na task za muhimu asingeacha kushughulikia watu walioko muhimbili aanze kuangaika na yanga
 
Thubutuu

Ulichokisema wewe ni sawa na mtu atayesema tanzania inabidi ijiimarishe vizuri kijeshi wakati IRAN ana mgogoro na USA ili kulipiza kisasi chake kwa USA kwasababu trump alituita sisi shithole
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…