babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Huo uwanja umekaa zaidi ya miaka 30 haujawai kukamilika Mo alitia hela juzi nimepita hapo umekamilika hata kama hajaleta nyasi mbwiga wewe.Acha urongo Mo hajajenga Namfua zaidi zaidi alitudanganya atatuletea nyasi bandia na hakuleta
MO mpuzi sana, mi ni simba na nilikua namtetea lakini ni mpuzi, Chama ameajiliwa na simba ko hata akiondoka atabaki kua mchezaji wa simba. Watu wanaangaika kumpuuza manara yeye unakuja kuendeleza mjadala. Aache uswahili
Acha uongo Mo hajatoa hata miaHuo uwanja umekaa zaidi ya miaka 30 haujawai kukamilika Mo alitia hela juzi nimepita hapo umekamilika hata kama hajaleta nyasi mbwiga wewe.
Nani katoa?labda najibishana na mtu wa Ilongero huko.Acha uongo Mo hajatoa hata mia
Kuruka na kukanyagana kwetu ndiyo furaha yako[emoji15][emoji15]Simba wanaruka na kukanyagana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aache unafiki sasa ajenge brand yakeKivipi
Kumbuka yule Ni mbongo sio mhindi kama mnavyodhani.
wabongo mlivyo wanafiki na yeye Ni mnafiki vile vile kama nyinyi
Huyu jamaa mpuuzi sana...kwani chama anacheza bure....ana dharau sana huyu bwege...No ni aina dukani ya watu wanaopenda umaarufu sana,bahati mbaya umaarufu haujawahi kumtaka.Hana kabisa personality kama walionayo matajiri wengine hapa Tz na huko duniani,nafikiri ni kwasababu hajahangaika kuzitafuta ndomaana hafanani kitabia na self-made billionaires.
Sasa kulikuwa na haja gani ya boss wa club kwenda kucomment shombo kama zile kwenye live ya CHAMA? Aiseeeh[emoji23]
Ile kauli ya Manara "Mo hakutaka niwe maarufu kuliko yeye" imeshapata jibu tayari.Huyu jamaa mpuuzi sana...kwani chama anacheza bure....ana dharau sana huyu bwege...
Yaani anafanya kama anamsaidia Chama...
Wahindi wengi wana akili hizi za kifala..
NacheeeekaaaaaKuruka na kukanyagana kwetu ndiyo furaha yako[emoji15][emoji15]
Sikutegemea jamaa angekuwa na utoto kiasi hiki......kazingua sana kusema kweli.MO ni Mswahili sana tena sana. Bora hata Wanawake wa Kizaramo.
Yaani unataka kila adui yako awe adui ya mwingine? Pumbavu!.
Na naliona anguko la timu yetu ya Simba so soon.
Kabisa....Tajiri mwenye roho ya kimasikini ndio huyu sasa....yaani anajishughurisha na vitu vidogo vidogoIle kauli ya Manara "Mo hakutaka niwe maarufu kuliko yeye" imeshapata jibu tayari.
Kabisa, na MO amekasirika koz ChamA hakumpost.Ile kauli ya Manara "Mo hakutaka niwe maarufu kuliko yeye" imeshapata jibu tayari.
Hata swala la mkude ni kama limekaa kifigisu.IVI ILE SIKU YA FAINALI, NANI ALIMPIGIA MKUDE WHATSAAP CALL?!
Yeye acheze na players wa ndani ambao hata wakitemeshea ugali Simba Sc na kudhurumiwa hawatakuwa na pa kwenda, ila professional players kama CHAMA, hawawezi kuteteleka kwakua Tz sio nchi yao.Kabisa, na MO amekasirika koz ChamA hakumpost.