Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Pesa za SPORTPESA, VODACOM, AZAM, MATANGAZO YA MO nk ziko wapi na zinaingia akaunti ipi? Akiweka wazi hapo ndio utajua kama hiyo MO ARENA amejenga MO au SIMBA..
 
Ww una akili sawasawa? Sasa kama yuko kwenye process kwann anakuwa mwenye sauti wakati hana kitu alichoweka?
Yuko kwenye process ya kutumia ujinga wa Viongozi na wanachama wa Simba kutumia resources walizonazo kuraise 20billion kutoka kwenye vyanzo vyao wenyewe ,kwani SSC wameshindwa kujisimamia vizuri..na reward yake itakua cheque ya 20b...that is what we call entrepreneurship.
 
ONDOA NENO MWEKEZAJI. MO SIO MWEKEZAJI MAANA HAJAWEKA KITU CHOCHOTE SIMBA
Hao wenye 51% wameweka Billion ngapi zinazoweza kuendesha Club????? Wewe mwanachama mara ya mwisho kuchangia simba hata miaa ilikuwa mwaka gani??? Uzwaza punguzeniii...
 
Pesa za SPORTPESA, VODACOM, AZAM, MATANGAZO YA MO nk ziko wapi na zinaingia akaunti ipi? Akiweka wazi hapo ndio utajua kama hiyo MO ARENA amejenga MO au SIMBA..
Eti sprotpesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vodacom mil 100 si hela ya kulisha timu tu tena kwa siku kadhaa...Azam wametoa sh ngap??? Hizo hela zote unazosema hapa hazifiki hata mil 300 sasa kwa akili yako simba inahitaji sh ngapi iweze kujiendesha????
 
Unajua watu hawajakataa yy kusaidia timu. Ila unadhani yeye hapati FAIDA? Viingilio vya SIMBA kwa mwaka wapata mpka Bil 1.3 achilia mbali wadhamini wake. Hivyo lazima hivyo aweke wazi ili ujue nguvu anayotumia pale.
 
INA maana SSC haina revenue yoyote ndugu?
 
Bil 1.3 ndo hiza asilimi 51% unayoisema hapa????? Acheni siasa za maji takaaa...
 
INA maana SSC haina revenue yoyote ndugu?
Mnakeraa sana Nyie vijamaa.. revenue gani bongo hapa wewe?????? Au unajidai uko Ulayaaaaa... Mechi yenye mapato ni ya yanga na simba...viingilio vya 2000 sijui 5000 unataka usema ni mapatooo.. Hizo jezi fake kila konaaa acheni uzwazwa...
 
Hao wenye 51% wameweka Billion ngapi zinazoweza kuendesha Club????? Wewe mwanachama mara ya mwisho kuchangia simba hata miaa ilikuwa mwaka gani??? Uzwaza punguzeniii...
Ww unaonekana hujui chochote kuhusu uwekezaji. SIMBA KAMA SIMBA WAO WANABRAND AMBAYO NI HIYO KLABU HIVYO KWAO MTAJI NI TIMU HIVYO BASI MO ANAPASWA KUWEKA PESA KWA MAANA HANA TIMU PALE. KWA MFANO WW UNA KIWANJA AU NYUMBA AFU MTU ANATAKA MSHIRIKIANE MUANZISHE BIASHARA YA KUFUGA KUKU WE UNADHANI UTATOA PESA YA MTAJI WAKATI USHACHANGIA HIYO NYUMBA?
 
Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
Kweli kabisa pale Simba wamewekeza watu wengi Sana, hawezi mnywa matapu tapu akaropoka tuuuuu
 
Kwa hiyo MO akitoka mkibaki na Brand yenuu mtaweza kutembezaa bakulii nduguu au ndo mnataka muaze kushikana uchawii??? Mzee kilomoni alikuwa analeta siasa na timu haiendeshwi kwa siasa kijanaa hata Yanga ni Brand lakini ona hali yaoo.. HII NI BONGO MSIFANANISHE NA ULAYAA kijanaa..
 
Bil 1.3 ndo hiza asilimi 51% unayoisema hapa????? Acheni siasa za maji takaaa...
Hiyo brand ya SSC unahisi INA wealth kiasi gani, Registration ya club, mjengo , wachezaji... hakuna pesa inaweza Jenga yote hayo ndani ya 1year... Azam wenyewe itawachukua 20yrs kufikia nusu ya hadhi ya brand ya SSC .
 
Et hela ya Vodacom. Hata mshahara wa mchezaji mmoja kwa mwaka hautoshi. Voda wanatoa 100m na fraga peke yake anakula 180m hapo hujaenda kwa wengine. Wachezaji Kama 25 unahisi Kuna kinachobakia? Sasa hapo bado Simba karibia safari zao zote wanaenda kwa ndege unaweza kadiria wanatumia kiasi gan kwa safari moja? Msosi je, motisha wanaposhinda? Gharama za usajili ?

Hizo hela za udhamini ni ndogo sana kwa uendeshaji wa timu. Mfano Yanga walikua na udhamin Kama wa Simba na bado walikua wanapitisha bakuli. Alipokuja gsm ndio ahueni
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Anataka kutumia mkopo kumnyamazisha Mh. Kigwangala! Ajibu swali la msingi aliloulizwa!
 
Hiyo brand ya SSC unahisi INA wealth kiasi gani, Registration ya club, mjengo , wachezaji... hakuna pesa inaweza Jenga yote hayo ndani ya 1year... Azam wenyewe itawachukua 20yrs kufikia nusu ya hadhi ya brand ya SSC .
Bhasi Ngoja MO atoke yale majengo yalishe club na kulipa mishaara ndo utajua hujuii...!! Najua utasema kuna mwekezaji atawekeza maana ndo mnachowaza kichwani kuwa simba ni Brand bongo kuwa Brand alafu huwezi kujiendesha ni takataka tuu kama Yanga kila siku wanaliaa hao GSM siasa nyingii wanamkumbuka Manji now..
 
Pesa za SPORTPESA, VODACOM, AZAM, MATANGAZO YA MO nk ziko wapi na zinaingia akaunti ipi? Akiweka wazi hapo ndio utajua kama hiyo MO ARENA amejenga MO au SIMBA..
usikute hawa ni watu kma Kigwangala,empty head anaandika madudu. Unajua bejeti ya Simba wewe?
 
Mnakeraa sana Nyie vijamaa.. revenue gani bongo hapa wewe?????? Au unajidai uko Ulayaaaaa... Mechi yenye mapato ni ya yanga na simba...viingilio vya 2000 sijui 5000 unataka usema ni mapatooo.. Hizo jezi fake kila konaaa acheni uzwazwa...
Kwahiyo MO amewekeza 20b ili kuihamisha SSC kutoka bongo kuipereka ligi ya nchi ipi?..au billionaire MO atakua anaweka mapesa tuu kila mwaka Kwa kuwa yeye na Simba damu damu?
 
Kuna watu wanahallucinate sana Mkuu sijui ni Shabiki wa yanga wanajaribu kujidai wanauchungu na simba ili waivuruge timu maana Mtu anaongea mambo ambayo kwa akili za kawaida hata Mwendawazimu hawezi fikiri utumbo kama huo na Mifano hai wanaionaa.. Bongo sio Ulayaaa hilo wamejisahaulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…