CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Pesa za SPORTPESA, VODACOM, AZAM, MATANGAZO YA MO nk ziko wapi na zinaingia akaunti ipi? Akiweka wazi hapo ndio utajua kama hiyo MO ARENA amejenga MO au SIMBA..Uwanja wa bunju umejenga wewe? Usajili wa gharama, kuboresha timu ya Simba queen, kujenga sports academy. Na hayo yote hajayahesabia kwenye 20b. Alivyosema Simba iko katika mchakato itakapoingia full Kama kampuni ndio ataweka hiyo hela.
Haya na wewe tusaidie hisa za wanachama 51% zinafanya nini