Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Yanga wanahao sport pesa,wana gsm(kama mdhamini akiwa),azam tv,Vodacom,Taifa gas nakila kitu anachopata Simba yanga anakipata Je kwa nn walikuwa wanatembeza bakuli?. Kwa nini wanashindwa kuendesha timu kwa faida wakalipa wachezaji mishahara?.
Tangia uone GSM wameweka BAKULI?
 
Mo yuko kwenye process ya uwekezaji na atawekeza tu, Sasa nakuuliza udhamini wote anaopata Simba, Yanga anao kwa nn Yanga wanashindwa kulipa wachezaji mishahara? . Wanang'ang'ania gsm awe mwekezaji naasibaki mdhamini?. Na nawasifu Yanga wamekubali kubadilika, Sasa nakuuliza ww kwa nn walikuwa wanatembeza bakuli haliyakuwa sport pesa wapo,vodacom wapo,Azam tv wapo, gsm akiwepo,taifa gas akiwepo?.

Acheni ukuaji tuleteeni wawekezaji wengine ili hawa mnaosema hawafai waondoke.
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Sasa Kama mo ana mikopo mingi benki kwanini kigwangala akakope kwa mo badala ya benki? Kigwangala aliomba rushwa siyo mkopo.
 
Tangia uone GSM wameweka BAKULI?
Gsm hatoi pesa zanje ya udhamini?. Ili kuisaidia timu iendeke kwenye mabadiliko, alipotaka kubaki kama mdhamini tu kwa nini Yanga walikuandikia barua kuomba msamaha nakumshawishi aendelee namchakato wakufanya mabadiliko?.

TUNOMBE&Tuisila wamesajiliwa kwa mil 460 hiyo pesa wadhamini wako Azam tv+vodacom wakijumlisha ela yao ya udhamini haifikii hio kwa mwaka. Halafu mnasema wawekezaji waondoke mna akili nyie.

Nakuuliza kabla MO hajachukua timu ,mbona Simba ilikua inalia njaa hao wadhamini walikua wapi?.
 
Mo anapaswa kujibu swali la msingi....... Je amelipia Hisa zake?
Bado hajalipia kwa sababu mchakato haujakamilika?.

Je hilo ndio suali lamsingi la Kigwangala, kutoka kuulizia cv ya CEO mpaka bil 20, ndio maana tunasema kunyimwa mkopo linamsumbua.
 
Bado hajalipia kwa sababu mchakato haujakamilika?.

Je hilo ndio suali lamsingi la Kigwangala, kutoka kuulizia cv ya CEO mpaka bil 20, ndio maana tunasema kunyimwa mkopo linamsumbua.
Dr Kigwangalla amesema mkopo ni private issue na hata yeye anawajua watu kibao wanaomdai MO na kama anabisha aseme " su" Kigwa amwage mboga.

Kama MO kashindwa kutoa mkopo wa pikipiki 25 malipo ndani ya siku 30 ataweza kweli kulipa sh bilioni 20 za Simba?......ameuliza Kigwangalla!
 
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!

MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!
You are very right, nimeangalia interviews za MO akiulizwa na journalists kuhusu hiyo investment yake ya 20b, MO anawajibu Kwa kejeli Sana na anawaambia waache choko choko. SASA nahisi kuna kitu hakiko Sawa au ni arrogance yake Kwa kuona kuwa hayuko answerable Kwa MTU yeyote. Najua Yuko rich Sana but asiwe na arrogance kubwa hivyo na kama anaona hawezi kutoa straight forward answers basi akae mbali na media kama investers wa football industry (abrahamovic na wenzake) wafanyavyo. Huyu MO yeye daily kwenye media na Hana kauli nzuri kwakwel Kwa mfano nilimsikia anamwita Yule msemaji wa Club(manara) kuwa ni Mropokaji. Tujiulize kama anaonesha arrogance ya hivyo kwenye open media, unahisi nini kinatokea behind the scene? Hiyo 49% anayosema anamiliki itawasumbua Sana Simba huko mbeleni..HK anaweza kuwa sio our favourite person but I am very afraid he is very right...MO have some respect to others be humble and give the damn explanation, you are investing in an institution that has huge public interest, It is not your private business people are seeking information about to tell them off.
 
Vipi kama MO angemkopa, halafu baadae akadai kitalu cha uwindaji huoni kama hapo pangekuwa na conflicts of interest, nitangu lini MO anafanya biashara yakupeshaji? Kwa nini asingeenda kukopa bank ili akanunue hizo pikipiki?. Ningekuwa Magufuli ningemfukuza na uwazil leo asubuhi, Hawa wanasiasa wanapenda kukupo kwa wafanyabiashara ndio wanasaidia kufanya lobbying kwa baadhi yahoja hili matakwa yawafanyabiashara yapite kiulahisi.

Mwisho.

Kipindi mnasema MO hafai, tungeomba Kigwangalla aje awekeze awe mbadala wa MO ili tujue yuko siriously kutukwamua.
 
Ok MO anaweza kuwa hatufai, tunaomba tumuondoe kisha mtuletee muwekezaji mwingine, au mshaulini Kigwangala aje awekeze .

Simba tunahitaji vitendo natimu kufanya vizuri basi inatosha, hakuna kingine wanachama/washabiki tunachonufaika nacho zaidi yakupata furaha Simba inaposhinda, kama tunamuona MO hafai tutafutieni mbadala wakuu.
 
MO kawekeza nini SSC? ndio swali ambalo halijibiwi...hakuna aliyesema hafai.
 
MO wala hajawahi kuficha yeye kudaiwa,na hata 2014 alisema kwenye magazeti yeye ndiye Mfanyabiashara mwenye mkopo mkubwa kuliko wote Tz nzima,alisema amekopa $260mil from 'consortium of banks'.So yuko wazi kwny hilo.

Pesa za kununua pikipiki za kuhongea wajumbe Kigwa angechukua kwny mafao yake ya ubunge na sio kwenda kulia lia shida kwny biashara za watu.
 
Ushauri wangu Kwa wanachama wa SSC na MO, kama Dewji katoa 20billion na SASA anamiliki 49% ya Club, Fanyeni mazungumzo naye awapatie 22billion mgawie wanachama wenu na mumwachie MO timu yake na nyie mbaki Tu kuwa mashabiki otherwise hii arrangement iliyopo haitakaa ilete Amani ya kudumu msimbazi..
 
Ww una akili sawasawa? Sasa kama yuko kwenye process kwann anakuwa mwenye sauti wakati hana kitu alichoweka?
 
ONDOA NENO MWEKEZAJI. MO SIO MWEKEZAJI MAANA HAJAWEKA KITU CHOCHOTE SIMBA
 
HASIRA za kigwangwala siyo upendo kwa simba ni hizo pikipiki....mtu hajaanza kazi keshaanza kulalamika mbona yeye kasomea afya yuko utaliii,hata mwanamama wa chelsea hakuwa na uzoefu wa sports lakini leo kawazidi hata kina ed woodward
Umenena vema mkuu! Kudos!
 
Uwanja wa bunju umejenga wewe? Usajili wa gharama, kuboresha timu ya Simba queen, kujenga sports academy. Na hayo yote hajayahesabia kwenye 20b. Alivyosema Simba iko katika mchakato itakapoingia full Kama kampuni ndio ataweka hiyo hela.

Haya na wewe tusaidie hisa za wanachama 51% zinafanya nini
MO kawekeza nini SSC? ndio swali ambalo halijibiwi...hakuna aliyesema hafai.
 
Ww una akili sawasawa? Sasa kama yuko kwenye process kwann anakuwa mwenye sauti wakati hana kitu alichoweka?
Ule uwanja unaojengwaa ameweka mawee pale????? Wachezaji wenu wanakula...wanalipwa vizuri na wanalala pazuri ni Hela zipi zinafanya haya mambo??? Hivi ushindi wa Mil 100 za ligi kuu zinaweza kuendesha club??? Au unadhani mapato ya uwanjani na kuuza jezi??? Bongo hiii yanga imeshindwa hata kulipa wachezaji kwa viela mbuzii hivyoo.. MO AMEWABEBA SANA SIMBA NAONA MNAJISAHAU yani mnavyopiga kelele ni ile Maskini akipata matakoo huliaa mbwataaa na yanaliaa kweliii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Yanga wanataka kuwavurugaa akato hali yao mbaya mlivyoo maboyaa mnataka kuingia mkengeee hayaa komaenii na hixo hisaa alafu muonee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…