Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kigwa sijui anajionaga Nani vile
Ana kiherehere sana
Ana kiherehere sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah
Kigwa ana kiherehere sana [emoji1787][emoji1787]Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?
Kigwangala bana mara nalima maelfu ya ekari za mchele,mara nina ng'ombe maelfu, kila siku anaimba imba ooh vijana hawana ajira sababu they don't think out of the box kumbe yeye mwenyewe ombaomba tu.,mafao yake ya ubunge hataki kuyanunulia Pikipiki za wajumbe ila hela za MO ndio za kufanyia hayo.
Huwa anajiona maisha kayapatia sana[emoji2]Hamisa anatabia za kidada sana,toka amekua waziri anajiona yeye zaidi ya binadamu wenzake.kumbe ni mrembo tu
Alikuwa ana mwonea wivu dokta mwaka anamega wamama [emoji1787][emoji1787]Mo kamfurusha jangili kwa upinde... [emoji23][emoji23][emoji23]
naanza kuvuta picha kwanini alikuwa akimuandama sana Dr Mwaka..
Ni yule alietangaza kula nyama ya mamba[emoji2][emoji2]Hivi naibu waziri utalii ni nani ?Naibu waziri wa hii wizara hata simfahamu .Ni kama Kigwa hana naibu.
Yule mbunge wa Geita ?Ni yule alietangaza kula nyama ya mamba[emoji2][emoji2]
Somebody KanyasuYule mbunge wa Geita ?
ajibiwe kama nani. Hili lilishajibiwa mara kibao tuDr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!
MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!
kweli dunia inamambo huyu mh kigwangala si kuna kipindi alitamba ana mampunga yakutosha kwa mamilion ya hela , iweje aombe mkopo? may be manj anamsingiziaJuzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559868
Je kama Mo angempa mkopo HKigwanga unadhani Kigwanga angeweza ku tweet kama alivyofanya?Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!
MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!
Asili ya kisukumaSema huyu jamaa Kigwangala anasifa simkubali kabisa
Wanauliza mitandaoni au kwenye vikao halali vya Simba?.Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!
MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!