Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Haya mambo ya Kiswahili,kufuatanafatana tu, kwani maswala ya utalii yametulia? Mwache mwenzio kwenye tasnia ya michezo,ufafanuzi aliutoa namba yake unayo, tweeter ya nini? Sema tu mzee baba anaona kashfa kwa cabinet ya ni jambo la kawaida, ilitosha akufukuze, kuombaje pikipiki halafu uanzishe bifu kwa nguvu ya cheo!
 
Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?

Kigwangala bana mara nalima maelfu ya ekari za mchele,mara nina ng'ombe maelfu, kila siku anaimba imba ooh vijana hawana ajira sababu they don't think out of the box kumbe yeye mwenyewe ombaomba tu.,mafao yake ya ubunge hataki kuyanunulia Pikipiki za wajumbe ila hela za MO ndio za kufanyia hayo.
Kigwa ana kiherehere sana [emoji1787][emoji1787]
 
Kigwangala ni kipenzi cha mtekaji mkuu a.k.a kiboko ya Corona Afrika na duniani.

Mo atajitia matatizoni tena.

Kutoa siri za mkopo wa pikipiki ndio mwanzo wa kukiuka makubaliano ya siri iliyomfanya aachiwe alipotekwa. Mo anpoelekea ataropoka dau alilotoa ili aachiwe. Mtekaji mkuu hawezi kumvumilia.

Stay tuned!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda

View attachment 1559868
kweli dunia inamambo huyu mh kigwangala si kuna kipindi alitamba ana mampunga yakutosha kwa mamilion ya hela , iweje aombe mkopo? may be manj anamsingizia
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Je kama Mo angempa mkopo HKigwanga unadhani Kigwanga angeweza ku tweet kama alivyofanya?
 
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!

MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!


Kigwangala mwanachama wa simba aliye mfu kabisa na Dr uchwara mavi ya mwisho mwisho kabisa

Kwa anayoyafanya MO sidhani kama ulistahili kuyasema hayo au hasira za kunyimwa pikipiki???

Ulitaka amlete nani??kwanini hujawahi kuuliza hayo maswali na iwe Leo???

Vitu vingine Mo anaweza kugain na ww ukaloose na kuonekana bogas was mwisho tens nyakati hizi pambana na Siasa axhana na mambo ya Simba
 
Analake jambo huyu mzee,anataka tu kuvuruga. MO akiacha kuwekeza hana uwezo wowote kusaidia,zaidi atakaa pembeni mganga njaa yule.Kumbe na yeye alienda kukopa akanyimwa amepandwa na hasira, simba kwa sasa inamatumaini kuliko hapo awali.Wawekezaji wenyewe wako wapi kwenye vilabu vya afrika tumepata huyu tayari kivuruge kajitokeza au kwasababu ni waziri sasa aendelee na chochoko zisizo na mantiki tuone atabaki na hicho cheo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!

MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!

Kwa kuwa alinyimwa Mkopo wa Pikipiki sasa ameona ahoji Bil 20 iko wapi,hiyo ishatolewa maelezo aache gubu.
 
Back
Top Bottom