Kigwa kala za uso. Uso umemshuka.Kuhoji malipo ya sh bilioni 20 za Simba SC ndio hasira bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigwa kala za uso. Uso umemshuka.Kuhoji malipo ya sh bilioni 20 za Simba SC ndio hasira bwashee?!
Kahoji kwasababu alinyimwa mkopo, nyuma yahoja zake kunahasira zakunyimwa pikipiki zakuhonga viongozi wa ccm zenga vijijini. Kwahio hoja zake zinachuki ndani yake, wewe namimi tujiulize angekopwa hizo bodaboda angeuliza hizi hoja?.Kuhoji malipo ya sh bilioni 20 za Simba SC ndio hasira bwashee?!
Ndo ujue akili za kugundisha na superglue hiziHuyu ni waziri aliyeagiza andazi kwa shilingi milioni moja
Kigwa kala za uso. Uso umemshuka.Kuhoji malipo ya sh bilioni 20 za Simba SC ndio hasira bwashee?!
Kigwangala huwa ni low IQ sana, kamuhujumu mpaka mdogo wake wanaechangia mama ili aenguliwe kisa alikata kuingia ccm nakukubali kugombea ubunge kupitia CDM...Kwa hiyo Kigwangalah alitaka mkopo toka kwa MO Dewji?
..Na CCM wakipata mkopo wakafanya jambo fulani wanasema ni "fedha za ndani."
..kwa mfano stieglers tumekopa kwenye mabenki lakini CCM wanasema tunatumia "fedha zetu za ndani."
Ishu sio kwa nini kahoji ishu hapa ni je hoja izo zina mantiki??Kahoji kwasababu alinyimwa mkopo, nyuma yahoja zake kunahasira zakunyimwa pikipiki zakuhonga viongozi wa ccm zenga vijijini. Kwahio hoja zake zinachuki ndani yake, wewe namimi tujiulize angekopwa hizo bodaboda angeuliza hizi hoja?.
With all the due respect nadiriki kusema kwa hili umepotoka kiongozi. .Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Kwani nawe umesikiliza hayo mahojiano yake na wasafi kama alivyo sema mwenyewe?Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Vitu alivyohoji lazima tuangalie kilichomsukuma kuhoji, nimapenzi aliyonayo kwa Simba?. Au nikwasababu alinyimwa mkopo?. Baada yahapo tujiulize yeye anadai nimwanachama wasimba, kwa nini asisubiri vikao halali vya Simba ndio akahoji?. Tukishapata hayo majibu ndio tuje kwenye hoja zake.Ishu sio kwa nini kahoji ishu hapa ni je hoja izo zina mantiki??
Ysye akihoji kwa sababu anazojua yeye ilo halituhusu na wala hatutaki kulijua point hapa ni kama vitu anavyohoji vina make sense or what?
Hiko kilichomsukuma kuhoji wewe na mimi hakituhusu wala sio ishu na wala hatutaki kujua na sion umuhimu wakeVitu alivyohoji lazima tuangalie kilichomsukuma kuhoji, nimapenzi aliyonayo kwa Simba?. Au nikwasababu alinyimwa mkopo?. Baada yahapo tujiulize yeye anadai nimwanachama wasimba, kwa nini asisubiri vikao halali vya Simba ndio akahoji?. Tukishapata hayo majibu ndio tuje kwenye hoja zake.
Kabla yahapo aliuliza elimu ya CEO akaona imeshiba, akaimbia mjadala wa elimu akahamia kuwa ameshawahi kuongoza club yeyote kulinganisha na Senzo, akajibiwa hapana akapewa mifano ya Ma CEO waliotoka katika tasisi mbalimbali kuja kuongoza soka kwa Mara yakwanza na wakafanikiwa mmoja wao akiwa CEO wa Chelsea na CEO wa Liverpool.
Baada yahapo akahamia kwenye bill 20, hili lishazungumzwa sana na MO mwenyewe hata siku moja kabla ya Simba day alilizungumzia kama hakuridhika asubiri vikao halali vya Simba akaulize na atajibiwa.
Taasisi yeyote inautaratibu wauendeshaji, amehoji nihaki yake kuhoji na kajibiwa kama hujaridhika na majibu aliyojibiwa hili nitatizo lako na lake.Hiko kilichomsukuma kuhoji wewe na mimi hakituhusu wala sio ishu na wala hatutaki kujua na sion umuhimu wake
Yeye ana haki ya kuhoji muda wowote saa yoyote anapojisikia.
Cha msingi hapo focus yetu iwe ana hoji nini na kama ni ishu
Ok lets assume ndio alinyimwa pesa za bodaboda ndio akaamua kuhoji na kama angepewa asingehoji je hapo kunabadilisha chochote kwenye hoja anazoleta mezani hata kama ni za ukweli
Kwani Kigwa ana asili ya kutoka KIGOMA? Maana kule wabishi wengi sanaChuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
Wote akili zao sawa Mo nae anajishaua na mkopo,sasa majibu ya mkopo wa bodaboda yanaingiaje hapa kwenye mambo ya mpira na alikuwa wapi kumjibu kama wanafahamiana je king asingemsema huyo mteule wake Mo tungeyasikia yote hayo?Mo nae anakuwa na akili kama za msemaji wa kilabu chake.Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Fikra potofu kuwanyenyekea matajiri eti kaitoa mbali simbaChuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
Sijui ngozi nyeusi tutajifunza lini,tukiona hawa wa rangi nyeupe basi akili zinaturuka, kuna siku Mo atachukua mikopo benki kwa kutumia klabu cha Simba,wana bahati Mzee Kilomoni aliliona hilo mapema ingawa kwa sasa Kilomoni anaonekana mkuda,kuna siku watakuja kuona busara zake,Mo ni mjanja mjanja tu kama alivyokuwa Manji na Yanga.Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza