Ukute hata hakujuiKatika hili namuunga mkono Dr Kigwangalla!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute hata hakujuiKatika hili namuunga mkono Dr Kigwangalla!
Wanasahau Simba ipo kabla hata baba yake Mo hajazaliwa,na hata Mo ataicha na Simba itakuwepoFikra potofu kuwanyenyekea matajiri eti kaitoa mbali simba
Kigwa njaa sana aiseeJuzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Mo kawekeza nini Simba labda sasa ndio kamwekeza huyo dadaMo anaujulisha umma kuwa mawe anayoyarusha kigwangala ni kutokana na kutokupewa mkopo. Hivyo hakulitumia suala hilo kama fimbo kumuadhibu bali kujitetea kwa umma. Pia wana simba hawana shida na mo juu ya uwekezaji wake ila tatizo ni hawa watu waliokuwa na masirahi binafsi ndo wanaweweseka.
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Tuletee mwekezaji tuachane na MO.Sijui ngozi nyeusi tutajifunza lini,tukiona hawa wa rangi nyeupe basi akili zinaturuka, kuna siku Mo atachukua mikopo benki kwa kutumia klabu cha Simba,wana bahati Mzee Kilomoni aliliona hilo mapema ingawa kwa sasa Kilomoni anaonekana mkuda,kuna siku watakuja kuona busara zake,Mo ni mjanja mjanja tu kama alivyokuwa Manji na Yanga.
Mkuu tutafutie muwekezaji ili tumfukuze MO ambae hajawekeza chochote tofauti na huyo dada.Mo kawekeza nini Simba labda sasa ndio kamwekeza huyo dada
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Simba ikianza kufanya vibaya mje kumuhoji, lakini kama inafanya vizuri hatuna shida nae. Maana Club ipo tangu zamani hao wakina Kigwa wangetuletea wawekezaji ili kama MO hafai watuonyeshe mbadala.always Investors are much clever than u think, MO sikwamba hanauwezo wakutoa hiyo pesa noup... anao sema baada yakupigwa chini kupewa 51% ya share naona akijijengea kingdom yake ili mahamuzi yake yawe na nguvu kwa masrahi yake binafsi
mkuu.. hoja za mheshimiwa kigwangala ni zamsingi sana, kwa sababu simba si club ya Mtu mmoja sasa kuhoji uwezo wakuongoza wa mwanadada hajakosea na mwanadada ni mfanyakazi wa mudi ktk biashara zake nyingine huoni kutakuwa na conflict of interest akiwa C.E.OSimba ikianza kufanya vibaya mje kumuhoji, lakini kama inafanya vizuri hatuna shida nae. Maana Club ipo tangu zamani hao wakina Kigwa wangetuletea wawekezaji ili kama MO hafai watuonyeshe mbadala.
Watz wengi tunapuuza hili la Mo, hata kama mimi ni Yanga lakini unaona kabisa Simba kuna mchezo unafanyika.Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Kwahio tumfukuze MO kwa sababu anataka kuleta conflict of interest?. Kama jibu ndio ntakubaliana na wewe kama utamleta mbadala wa MO .mkuu.. hoja za mheshimiwa kigwangala ni zamsingi sana, kwa sababu simba si club ya Mtu mmoja sasa kuhoji uwezo wakuongoza wa mwanadada hajakosea na mwanadada ni mfanyakazi wa mudi ktk biashara zake nyingine huoni kutakuwa na conflict of interest akiwa C.E.O
Watz wengi tunapuuza hili la Mo, hata kama mimi ni Yanga lakini unaona kabisa Simba kuna mchezo unafanyika.
Issue kubwa kama ilikuwa ni Mo kuthibitisha tu kuwa hizo fedha ameshipa.
Mbali na hapo kumuweka mtu aliyekuwa mfanyakazi wake ktk taasisi ambayo yeye ndo Mwenyekiti inakuwa ni ngumu CEO kwenda kinyume na Boss wa siku zote.
Sifatilii soka la bongo, huwa naona migogoro tu kila kukicha wala sielewi tatizo liko wap, ama klabu zinaendeshwa kama chama cha siasa?Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.
Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559971
========
View attachment 1559972