Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

always Investors are much clever than u think, MO sikwamba hanauwezo wakutoa hiyo pesa noup... anao sema baada yakupigwa chini kupewa 51% ya share naona akijijengea kingdom yake ili mahamuzi yake yawe na nguvu kwa masrahi yake binafsi
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda

View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Kigwa njaa sana aisee
 
Mo anaujulisha umma kuwa mawe anayoyarusha kigwangala ni kutokana na kutokupewa mkopo. Hivyo hakulitumia suala hilo kama fimbo kumuadhibu bali kujitetea kwa umma. Pia wana simba hawana shida na mo juu ya uwekezaji wake ila tatizo ni hawa watu waliokuwa na masirahi binafsi ndo wanaweweseka.
Mo kawekeza nini Simba labda sasa ndio kamwekeza huyo dada
 
Sijui ngozi nyeusi tutajifunza lini,tukiona hawa wa rangi nyeupe basi akili zinaturuka, kuna siku Mo atachukua mikopo benki kwa kutumia klabu cha Simba,wana bahati Mzee Kilomoni aliliona hilo mapema ingawa kwa sasa Kilomoni anaonekana mkuda,kuna siku watakuja kuona busara zake,Mo ni mjanja mjanja tu kama alivyokuwa Manji na Yanga.
Tuletee mwekezaji tuachane na MO.
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi

Kutakatisha fedha, ni kitendo cha kutumia fedha haramu kwa matumizi halali na/au kujipatia faida kwa shughuli halali.

Kutakatisha shutuma, ni kitendo cha kutumia chuki binafsi zinazotokana na hasira ya kunyimwa mkopo, kisha kunipaka tope kwenye mambo yangu mengine ili nionekane sifai.

Ujanja ni kumpiga spana mtakatishaji bila kujali cheo chake wala umaarufu wake.
 
always Investors are much clever than u think, MO sikwamba hanauwezo wakutoa hiyo pesa noup... anao sema baada yakupigwa chini kupewa 51% ya share naona akijijengea kingdom yake ili mahamuzi yake yawe na nguvu kwa masrahi yake binafsi
Simba ikianza kufanya vibaya mje kumuhoji, lakini kama inafanya vizuri hatuna shida nae. Maana Club ipo tangu zamani hao wakina Kigwa wangetuletea wawekezaji ili kama MO hafai watuonyeshe mbadala.
 
Simba ikianza kufanya vibaya mje kumuhoji, lakini kama inafanya vizuri hatuna shida nae. Maana Club ipo tangu zamani hao wakina Kigwa wangetuletea wawekezaji ili kama MO hafai watuonyeshe mbadala.
mkuu.. hoja za mheshimiwa kigwangala ni zamsingi sana, kwa sababu simba si club ya Mtu mmoja sasa kuhoji uwezo wakuongoza wa mwanadada hajakosea na mwanadada ni mfanyakazi wa mudi ktk biashara zake nyingine huoni kutakuwa na conflict of interest akiwa C.E.O
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Watz wengi tunapuuza hili la Mo, hata kama mimi ni Yanga lakini unaona kabisa Simba kuna mchezo unafanyika.

Issue kubwa kama ilikuwa ni Mo kuthibitisha tu kuwa hizo fedha ameshipa.

Mbali na hapo kumuweka mtu aliyekuwa mfanyakazi wake ktk taasisi ambayo yeye ndo Mwenyekiti inakuwa ni ngumu CEO kwenda kinyume na Boss wa siku zote.
 
Mambo ya Msimbazi Haya.....

Kama Mwanajangwani Nilishtuka Kusikia Kuwa Safari Hii Watani Simba WAMEKENGEUKA waliyoyafanya kwa Senzo.....

Ni Hivi:-
👉Tenda ilitangazwa na Usaili Ukapita na Senzo Akawa CEO wa SSC.
👉Pamoja na kuwa na Awesome Credentials kutoka LSE,CEO mpya wa SSC hakupita kwenye tangazo la Tenda Na Sijui Kama Alichujika Katika Usaili....
Katika 👆👆Ndipo Pale Unapomithilika ULE usemi TUNDUIZI kuwa TAJIRI HAKUNJIWI NDITA😂😂😂
👉WanaYanga Wenzangu....WanaSimba Sikilizeni eeeee TAJIRIII...HAKUNJIWI NDITAAAA!!!

Kuhusu Issue ya Comrade Kigwangalla na Tajiri MO....aaagh Siijadili🚶🚶🚶🚶🚶
 
mkuu.. hoja za mheshimiwa kigwangala ni zamsingi sana, kwa sababu simba si club ya Mtu mmoja sasa kuhoji uwezo wakuongoza wa mwanadada hajakosea na mwanadada ni mfanyakazi wa mudi ktk biashara zake nyingine huoni kutakuwa na conflict of interest akiwa C.E.O
Kwahio tumfukuze MO kwa sababu anataka kuleta conflict of interest?. Kama jibu ndio ntakubaliana na wewe kama utamleta mbadala wa MO .
 
Watz wengi tunapuuza hili la Mo, hata kama mimi ni Yanga lakini unaona kabisa Simba kuna mchezo unafanyika.

Issue kubwa kama ilikuwa ni Mo kuthibitisha tu kuwa hizo fedha ameshipa.

Mbali na hapo kumuweka mtu aliyekuwa mfanyakazi wake ktk taasisi ambayo yeye ndo Mwenyekiti inakuwa ni ngumu CEO kwenda kinyume na Boss wa siku zote.

Tutafutieni mbadala wa MO ili aje alipe mishahara yawachezaji na wafanyakazi wote. Kisha baada yahapo ndio mtueleze MO hafai.
 
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.

Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Sifatilii soka la bongo, huwa naona migogoro tu kila kukicha wala sielewi tatizo liko wap, ama klabu zinaendeshwa kama chama cha siasa?

Nani ni mjaority shareholder hapo SIMBA?
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda

View attachment 1559971
========
View attachment 1559972

waziri kwenda kuomba mkopo kwa mfanyabiashara ni rushwa. Tujue mfanyabiashara sio bank! . Sasa na Mo alienda kuomba sehemu ya kuwinda mnafikiri kama angetoa pilipiki angeangaliwa sawa wa wawekezaji wengine?
 
Ukiacha ushabiki, mo alitakiwa ajibu hoja!
Baada ya kujibu ndo tungejua km Dr anamchukia mo kwakumyima mkopo Dr kigwa.
Hapa naona Dr anahoja ya msingi km mo analichukulia poa ipo siku litamgalimu hili swala.
Mo janja janja nyingi sana,
Hata majibu yke wakati akihojiwa wa wasafi fm aliishia kusema yy siyo wakukoswa Billioni 20 hakika lilikuwa jibu la kufikilisha na kuongeza maswali.
Hili la CEO mpya nalo linafikilusha , huwezi muweka mtendaji mkuu wa club kubwa km simba kwa stail ile na mtu wakalibu hivyo hafu , hii wanataka kuanza kuongeza zero zero kwenye makaratasi ili kufunga hesabu za 20bil.

Hapa tutaanza kuona sababu za senzo kuondoka simba, yawezekana huo mchezo senzo aliukataa. Wakaona wambinue. Akaamua kujiachia mwenyewe kulinda cv.
 
Ila Kama unaingelea suala CEO wa Simba pekee Kingwa yuo sahihi...hayo mengine wanajuana wenyewe!
Ila siku Mimi huwa nasema MO Ni Mswahiliswahili Sana! Huwa akikisolewa kidogo tu kuhusu Simba anapaniki!
Simba Ni Timu ya Watu sio Kxmpuni ya vinywaji vya kuongeza nguvu!
 
Back
Top Bottom