MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Waliotoa hizo takwimu hawajakurupuka hata kidogo,kwahivo we tulizana tu na utafute pesa.
 
Ana ela kweli ila kaachwa mbali sana na mo, rostam ana $900bl mo ana $1.5tr kama nmekosea mtanisahihisha....

Inawezekana ana ela kumzidi mo lkn anaficha baadhi ya mali na ac zake zisijulikane
Acha masihara wewe dola trilion moja na nusu unaijua vizuri?
 
Tell dem
 
nilipata kuingia kiwanda chake East Coast Oil/Fats Kurasini, hali ni tete, kuchafu mno, kupo sagalabagala, vehicles zimechoka kinoma

injinia makeniko anakunja 300k basic/month, technician makeniko anakunja 180k basic / month
Ila iansemekana pmj na kuwalipa kiwango hicho ninkwa sababu ameajiri wafanyakazi wengi kuliko mtu yoyote hapa Tanzania
 
[emoji419]
 
Usiwe mbishi! Unajua maana ya agent?? Hivi unadhan unaweza agiza V8 zero kilometer toka Japan pasipo kupitia Karimujee Jevanjee(Toyota Tanzania)?? Ili na wao waweke cha juu?? Jifunze
Inawezekana acha ushamba wako wa wilayani huko watu wanaagiza mpaka special order
 
Inawezekana acha ushamba wako wa wilayani huko watu wanaagiza mpaka special order
Naomba nikuite kenge! Unabisha wakati hili suala hadi bungeni lilifika! Huyu Toyota Tanzania kazi yake ni nini sasa kufanya services au

Special order demand yake ni ndogo sana, hivi unadhani serikali wanashindwa vipj agiza mzigo direct from Toyota Japan,lakini lazima inawabidi wapitie Toyota Tanzania?? Kenge wewe
 
Sawa rafiki wa iker huna uelewa kabsaa watu wa malafudhi mnashida sana bungeni wanataka serikali inunue moja kwa moja bila kupitia kwa mzabuni
Manunuzi ya serikali huwa yanapitia kwa mzabuni shida ya watu ambao hamjawah fanya kaz serikalini na wajuju kama wew ni hovyo kabisa na serikali huwa inatumia mzabuni sababu huwa haina pesa cash so anapewa huduma malipo atafanya hata baadaye wataka useme
Hata zile gari anazotembelea rais kuwa aliwaletea toyota???
 
Uwekezaji wa kiwanda cha sukari cha bagamoyo sugar utapanga ni viwanda vya sabuni sijui mafuta sijui ukusanyaji wa choroko na katani hebu muwe serious

Wanashindwa kuelewa hata yule jamaa aliyekuwa anabishana na kigogo twitter naye ana kiwanda cha sabuni....wamama mtaani wapo kibao wanatengeneza sabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…