Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

Screenshot_20221020-104202.png
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595
Hv ww ungekuwa na Raisi kama Putin ungemuita nani?

Eti shetani!!?? Yupi kweli wtz ni mayai mayai softi softi.

Nenda Kongo huko utakuta watu na nusu
 
Alitekwa na system sio individual lazima mjue mambo mengine sio ya kusema sema hi ni nchi in deepstate
Kama Deep state zina operate kiuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
 
Kama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
 
Kama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Na hata hiyo system pia iliundwa ina watu wa hovyo tu ambao ni vilaza walishindwa kutumia njia nyingine ya kupata walichokitaka mpaka kumteka mtu wa namna hiyo ujue ni kuabisha nchi
 
Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595
Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zake
 
Wewe acha watu wajidili mambo ya maana wewe umeolewa na siasa za ccm tu, mambo mengine usikilize watu intellectuals wana jadili huenda utajifunza mengi, kuna maisha nje ya chama chako.
 
Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Wewe jamaa punguani kweli. magufuli alijiharibia mwenyewe kimataifa kwa ushamba wake akifikiri angeweza kwenda kinyume na dunia akaishia kufa kifo cha covd 19 aliyodanganya dunia kwamba ipo kwenye mapapai
hahahaha..... hao chadema wamteke mo ili iweje? wana jesh?

ipo siku bi mkubwa wako atapata ujauzito nje ya ndoa utawasingizia chadema wewe
Makamba ni wazir wa nishati sasaivi
kama vipi kalifufeni lile dubwasha lenu kule chato.... liliteka watu ili liwapore pesa zao kisha likadanganya ati mapato yanaongezeka
mungu fuuuundi
asante mungu kutuondolea uzia tz
 
Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zake
Kama makubaliano yalikuwa ni kuwapa mshiko ili wamuachie na mwenyewe akaridhia Polisi isiwabugudhi,kuanzisha ligi saa hizi ni kujitafutia matatizo,kwani inaonyesha mwenywe aliridhia waachiliwe bila masharti...
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595

wewe mcundu acha uzwazwa bana hata kama una hamu.

kama ana haja ya kufanya hivyo unadhani kipi kinamshinda wakati ni mwaka sasa mlawiti wako hayupo!!!!
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595
Halafu linasimama jinga moja linakuambia tutamkumbuka magufuli, yaani mtu anafikia kubariki utekaji wa matajiri wakubwa, halafu useme huyo alikuwa binadamu wa kawaida kweli
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595
Si Mo pekee, Roma Mkatoliki naye awataje
 
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.

Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.

View attachment 2392595
-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Back
Top Bottom