Hv ww ungekuwa na Raisi kama Putin ungemuita nani?Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Kama Deep state zina operate kiuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa MojaAlitekwa na system sio individual lazima mjue mambo mengine sio ya kusema sema hi ni nchi in deepstate
Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstateKama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Na hata hiyo system pia iliundwa ina watu wa hovyo tu ambao ni vilaza walishindwa kutumia njia nyingine ya kupata walichokitaka mpaka kumteka mtu wa namna hiyo ujue ni kuabisha nchiKama Deep state zina operate kuzembe namna Ile basi Tanzania ilikuwa nchi ya hovyo kuliko hata Burkina Faso. Ile ilikuwa ni rogue unit within the system ambayo ilikuwa inawajibika kwa Magufuli Moja kwa Moja
Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zakeNi miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Wewe acha watu wajidili mambo ya maana wewe umeolewa na siasa za ccm tu, mambo mengine usikilize watu intellectuals wana jadili huenda utajifunza mengi, kuna maisha nje ya chama chako.Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Wewe jamaa punguani kweli. magufuli alijiharibia mwenyewe kimataifa kwa ushamba wake akifikiri angeweza kwenda kinyume na dunia akaishia kufa kifo cha covd 19 aliyodanganya dunia kwamba ipo kwenye mapapaiChadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Kama makubaliano yalikuwa ni kuwapa mshiko ili wamuachie na mwenyewe akaridhia Polisi isiwabugudhi,kuanzisha ligi saa hizi ni kujitafutia matatizo,kwani inaonyesha mwenywe aliridhia waachiliwe bila masharti...Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zake
Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Halafu linasimama jinga moja linakuambia tutamkumbuka magufuli, yaani mtu anafikia kubariki utekaji wa matajiri wakubwa, halafu useme huyo alikuwa binadamu wa kawaida kweliNi miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.
Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
View attachment 2392595
Ona ili jinga nalo, mwendazake ndio alimteka na kundi lakeAlitekwa na system sio individual lazima mjue mambo mengine sio ya kusema sema hi ni nchi in deepstate
Nawahurumia watoto wenye mama dizaini yako, hao watoto Ni Kama yatima wasio na mama,Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Si Mo pekee, Roma Mkatoliki naye awatajeNi miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA.